Nawezaje kuongeza urefu wa kimo?

Kuna zile dawa za kurefusha kiba100 huwa wanachua kibamia then kinarefuka after 7days hivyo nakushauri uchukue zile ujichue mwili mzima utarefuka kwa kiasi unachotaka
Ahaha...
 
Jamani mm nina matege(ya miguu kuingia ndani) yanakikosesha amani kwa kweli, japo hayanikoseshi chochote ila naombeni ushauri angalau jinsi gani niyapunguze maana hua najishtukia sana! Natanguliza shukrani.
 
Unasahau kuna Genetic issue chief [emoji20][emoji20][emoji20]
 
Altenative way hapo ni Laizoni au High heels tu ndo ziwe moja kati ya outfit zako kila siku.
 
Simpo hii,
Tafuta gari mbili,
Ya kwanza ifunge mnyororo kutoka kwenye gari hadi mikononi na ya pili ifunge mnyororo kutoka kwenye gari hadi miguuni.
Kisha hizi Gari kila moja ielekee kwa upande wake opposite na mwengine wakati we ukiwa katikati yao,
Ziende taratibu tu mpaka utakapoona umerefuka vya kutosha
 
Jamani mm nina matege(ya miguu kuingia ndani) yanakikosesha amani kwa kweli, japo hayanikoseshi chochote ila naombeni ushauri angalau jinsi gani niyapunguze maana hua najishtukia sana! Natanguliza shukrani.
Anzisha uzi wa kwako acha kutuchanganya.
Jamani mm nina matege(ya miguu kuingia ndani) yanakikosesha amani kwa kweli, japo hayanikoseshi chochote ila naombeni ushauri angalau jinsi gani niyapunguze maana hua najishtukia sana! Natanguliza shukrani.
 
Kama una miaka chini ya 20 kunywa maziwa fresh kila siku at least kikombe kimoja.
 
Mi nimekuja mbio nilifikiri kuna dawa za kuongeza mkuyenge[emoji38] [emoji38] kumbe kuongeza urefu. Fanya hivi tafuta watu wawili, mmoja akufunge kamba ya miguuni na mwingine akufunge kamba shingoni then wavutiane, usiporefuka hapo ndio basi tena.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Weka bidii zako kwenye mazoezi, urefu utakuja naturally
 
Mkuu kwani huo ulio nao hawaufurahii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…