Nina miaka 25 mkuuBahati mbaya hujaeleza umri wako.Kuongeza urefu hata kwa centimetre moja tu inawezekana pale ujazo wa mifupa yako (bone density) inapoongezeka. Kitu cha kuongeza ujazo(density) ni madini ya calcium. Kula vyakula vyenye madini ya calcium kwa wingi kv dagaa, maziwa,nk.
Inabidi nianze na hiyo diet mkuu maziwa na dagaa na samakiBahati mbaya hujaeleza umri wako.Kuongeza urefu hata kwa centimetre moja tu inawezekana pale ujazo wa mifupa yako (bone density) inapoongezeka. Kitu cha kuongeza ujazo(density) ni madini ya calcium. Kula vyakula vyenye madini ya calcium kwa wingi kv dagaa, maziwa,nk.
Mkuu we upo na height gani?Best ebu kuwa mpole kwanza nyie watu wafupi mnafaida nyingi sana maishani ila hamjiamini,kwanza kama ni usiku ni rahisi kumdanganya konda wewe denti japo unfamilia
Hivyo mungu akupe nini we mwana wa adamu