Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

Battery low

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
315
27
Ndugu nisaidieni hili maana Apps nying znakuja na matangazo yani yananiboa kinoma tena utakuta nyngne zmefunikwa kabsa.

dowoad app inaitwa "adclear" itafute google haiko playstore. hii app ikiwa active iko mfano wa VPN yaani inafunga milango yote ya ads hadi zile ads kwenye video za yutube hutoziona tena. trust me.

kama umenipata lete mrejesho.

Kuna hizi apps zinaweza kuondoa hilo tatizo.
adaway
adblock plus
adclear n.k
Jaribu kugoogle mkuu zipo nyingi.
Hata lucky patcher ni nzuri kuna option ya kublock Goole ads


 
ndugu nisaidieni hili maana apps nying znakuja na matangazo yan yananiboa kinoma tena utakuta nyngne zmefunikwa kabsaaa

Root simu yako. Tafuta app inayoitwa Adaway. Hii app itakuwa ina-update host files kuzuia Ads kwenye apps unazotumia.
 


Ila mahitaji ni haya
...........................
Lkn lazima uwe ume-root au ume install super user
  • Pia ungesema ni simu ipi unatumia tungekupa njia sahihi ya kuifanyia ROOTING
  • KARIBU

ndugu nisaidieni hili maana apps nying znakuja na matangazo yan yananiboa kinoma tena utakuta nyngne zmefunikwa kabsaaa
 
Some screenshot
 

Attachments

  • 1399654418581.jpg
    32.3 KB · Views: 650
  • 1399654453793.jpg
    25.5 KB · Views: 633
  • 1399654506010.jpg
    24.6 KB · Views: 610
Nimejaribu kuroot Sony experia z kwa kutumia vRoot na program nyingi kadhaa bila mafanikio. Msaada tafadhali
 
  • Angalia hii video, Itakupa mwanga wa nini cha kufanya.

Nimejaribu kuroot Sony experia z kwa kutumia vRoot na program nyingi kadhaa bila mafanikio. Msaada tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…