usimtishe mwezako saa hivi wachin awametoa box inaitwa ip box hiyo ni hatari inasoma passowrd ikisha toka password ndio una remove id apple gonga hapa
IP-BOX iPhone Password Unlock Tool
Paul S.S
Bongo hackers think about brute forcing the apple id or recovering iphone encrypted data in ofline mode... if iphone encrypted data can be recovered... ad those encryped data analysed then iphone pasword can be recovered from those data.
Any thing which require user input can be brute forced it is a matter of time and processing power of a machine...niko hatua za mwisho za ku re engineer my iphone hacking tool.......kaeni mkao wa kula apple id can be recovered but it is illegal
Mkuu I'm talking from experience mimi nina iPhone 4S ilikuwa na iOS 7.1.2 na iCloud Lock sasa hivi naitumia kama kawaida, tena yangu ilikuwa na iCloud ya mtu wa Australia. Nili downgrade kwenda 6.1.3. THANKS TO YOUTUBE
Mkuu unaposema ilikua na iCloud lock kisha uka downgrade.... How?
Labda kati ya mimi au wewe hatuelewi maana ya iCloud lock
Nijuavyo mimi unapowasha tu idevice yako immediately inakutaka kuingiza Apple ID uli uendelee. So unaposema ulidowngrade inakuwaje hapo
Hebu tuwekee hiyo video ya youtube hapa maana usije kuchanganya na iphone kuwa haijawa locked lakini ina waka na ina apple id ya mtu mwingine, hapa unaweza kuifuta
Lakini ikijilock kwa icloud lock maana yake huwezi kuiwasha tena hadi apple id
Naomba ufafanuzi ume bypass vipi icloud lock wakati wa kuwasha iphone yako?
Naona haujaelewa tofauti ya Apple ID Password na iPhone Passcode.
Hiyo ip box unayoongelea wewe ni ya iPhone passcode/word na inawezekana kufungua passcode/word hata kwa ku restore.
Hakuna anaeweza kutoa Apple ID Password 100% tena iliyo kwenye lost mode!
Yangu imeibwa uk itafaa kufungunguka?
Unajua bei ya iphone 4 sasa hv?Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.
Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.
Niko Mwanza Tanzania.
Unajua bei ya iphone 4 sasa hv?
Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.
Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.
Niko Mwanza Tanzania.
Acha utapeli wewe
I like your guts mkuu,
But theoretically brute force can guess any password Nirahisi zaidi kuhack Apple Id kuliko kuhack password ya encryped data kwa brute force Anyway hebu nipe mwanga utazipataje hizo encryped data toka kwenye iphone iliopo kwenye lost mode?
Humpati mtu wa kuibia humu ndani kibwege ----- weweWewe hujui lolote na bado uko gizani !
Icloud inatoka 100% hata kama iko lost mode isipokua ambayo ni stolen .
Kuna tofauti ya lost na stolen, lost inatoka ila stolen haitoki kamwe.