Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

Kama unajua system files za iPhone (Ukitumia SSH utaziona) activation screen inaletwa na file lenye jina setup.app ambalo liko kwenye applications folder ya iPhone. Kuna simu nyingine uki delete hilo file inafunguka vizuri.

Ila kwa simu ambazo zimetoka mwisho wa mwaka jana na zina 7.1.2 and above, hizo ndio zimepigwa security kali. Ila kama unavyojua nothing is impossible hiyo security lock imetengenezwa na binadamu

DJ Willzz..
In a short thrift, it's not possible to go any other step after initial start up of I-phone which has been I-Cloud locked.

Most of the videos assume that one has already gone thru the I-cloud username and password stage and then you can downgrade the IOS level or upgrade as you so wish.

The issue here is HOW TO CRACK OPEN AN I-CLOUD LOCK and not how to upgrade or downgrade an IOS Level.

For someone to crack both the username and password of an
I-cloud locked phone is near impossible.

No one has explained it.
 
Waambie waelewe

matembele and Echolima I have iphone4 gsm (A4) which was icloud locked and it had iOS 7.1.2. I have downgraded it without iCloud activation using iOS Soft Dev Pack and SSH Client called WinSCP.

Mimi sitaendelea kubishana na wewe I'm a more of action person, lets meet somewhere with ur iPhone that was released before 2013.

If you win i give TZS 150,000, and if I win you give me TZS 150,000
 
Hapo kwenye downgrade hivi hii inawezekanaje?

Kama simu yako imekuwa released before 2013 unaweza. Na ukisha downgrade hautakiwi ku updrage sababu ukifanya hivyo unarudi tena kwenye iCloud lock, ila simu nyingi zilizotoka 2013 na kuendelea ni ngumu kufanya hivyo.
 
Mimi kwa Iphone 4 zilizotoka 2013 naweza kukubaliana na wewe ila nakataa kwa Iphone 4s na kuendelea.
matembele and Echolima I have iphone4 gsm (A4) which was icloud locked and it had iOS 7.1.2.

I have downgraded it without iCloud activation using iOS Soft Dev Pack and SSH Client called WinSCP. Mimi sitaendelea kubishana na wewe I'm a more of action person, lets meet somewhere with ur iPhone that was released before 2013.

If you win i give TZS 150,000, and if I win you give me TZS 150,000
 
matembele and Echolima I have iphone4 gsm (A4) which was icloud locked and it had iOS 7.1.2. I have downgraded it without iCloud activation using iOS Soft Dev Pack and SSH Client called WinSCP.

Mimi sitaendelea kubishana na wewe I'm a more of action person, lets meet somewhere with ur iPhone that was released before 2013.

If you win i give TZS 150,000, and if I win you give me TZS 150,000

Sina uhakika na pre-2013 iphones na hasa Iphone 4. I had stayed with 3GS hadi ilpotoka Iphone 5.
Kama inawezekana then I have to agree with you.

Nilichukua Iphone 5 gsm ATT locked. Kabla ya software ya ku unlock hazijatoka nikasafiri kuja TZ, iliwezekana kuifungua ki-aina hivi nikaweza kuitumia TZ. Nilpirudi US it worked again perfectly. By this time unlock software was available, kwa hiyo nikafanya hivyo.

Kisanga kikaja when it rebooted, to reactivate, inaulizia My Icloud username and password!!!
Nilikuwa nimeisahau!! No matter what I did.... simu imegomea kwenye kuulizia icloud account.

Eventually.... kwa vile ni simu yangu, nikaipata thru emails na identity verification. Isingekuwa yangu, there was NO WAY ANYBODY ELSE COULD HAVE REACTIVATED IT.

Kwa i-phone 4 sina uhakika. I guess you could be right na usemacho!
 
Mkuu I'm talking from experience mimi nina iPhone 4S ilikuwa na iOS 7.1.2 na iCloud Lock sasa hivi naitumia kama kawaida, tena yangu ilikuwa na iCloud ya mtu wa Australia. Nili downgrade kwenda 6.1.3. THANKS TO YOUTUBE

matembele and Echolima I have iphone4 gsm (A4) which was icloud locked and it had iOS 7.1.2. I have downgraded it without iCloud activation using iOS Soft Dev Pack and SSH Client called WinSCP. Mimi sitaendelea kubishana na wewe I'm a more of action person, lets meet somewhere with ur iPhone that was released before 2013.

If you win i give TZS 150,000, and if I win you give me TZS 150,000

Kwenye Red ni dalili ya kwanza ya mtu muongo

Pili haina haja ya kubisha kwa kamali hapa. hili ni jukwaa la Tech na wadau wenye iphone 4s zilizokuwa icloud locked wapo wengi na haiitaji even a single cent kununua chochote kufanikisha hilo zoezi Kwanini basi usithibitishe?

Kwa wengine hizo tunaona ni kama ngonjera zilizojaa youtube na scammer kibao wanaodai wanaweza hii kitu
Kimsingi hakuna lisilowezekana lakini hadi sasa bado wajuzi hawajapata njia

I still stand to be corrected.......prove me wrong
 
Mimi kwa Iphone 4 zilizotoka 2013 naweza kukubaliana na wewe ila nakataa kwa Iphone 4s na kuendelea.

iPhone 4S imekuwa release 2011, ila bado wanaendelea ku release ndio maana nikakuuliza iPhone 4S yako imekuwa released lini. Kwa kukusaidia ingia imei.info kisha ingiza IMEI namba yako itakuonyesha kuwa imekuwa released lini kisha niambie
 
He! nilikuwa nasoma comments tu imebidi niulize, ina maana apple bado wanazalisha iPhone 4s mpaka leo mkuu?!
 
Iphone 4s yangu imekuwa released October 2011 nimecheki na nikaona hivyo mkuu.
iPhone 4S imekuwa release 2011, ila bado wanaendelea ku release ndio maana nikakuuliza iPhone 4S yako imekuwa released lini. Kwa kukusaidia ingia imei.info kisha ingiza IMEI namba yako itakuonyesha kuwa imekuwa released lini kisha niambie
 
Leo nmeweza ku bypass iphone 5 ila haifungui app yoyote zaid ya facetime app
 
Attachments

  • 1422721507775.jpg
    1422721507775.jpg
    54 KB · Views: 230
Kama unajua system files za iPhone (Ukitumia SSH utaziona) activation screen inaletwa na file lenye jina setup.app ambalo liko kwenye applications folder ya iPhone. Kuna simu nyingine uki delete hilo file inafunguka vizuri.

Ila kwa simu ambazo zimetoka mwisho wa mwaka jana na zina 7.1.2 and above, hizo ndio zimepigwa security kali. Ila kama unavyojua nothing is impossible hiyo security lock imetengenezwa na binadamu

USIDANGANYE WATU, iCloud lock inaeza kuondolewa kwenye iPhone 4 tu! Lakini kwa 4s, 5, 5c, 5s na 6! NEEEEVER, At least not for now.
 
Hata uende kiwandani haitatoka uwo ndo uzur na ubaya ya cm izi. Cha msingi kama umeiba cm rudisha maana hutaweza kuitumia useless.
 
Paul S.S

Bongo hackers think about brute forcing the apple id or recovering iphone encrypted data in ofline mode... if iphone encrypted data can be recovered... ad those encryped data analysed then iphone pasword can be recovered from those data...

Any thing which require user input can be brute forced it is a matter of time and processing power of a machine...niko hatua za mwisho za ku re engineer my iphone hacking tool.......kaeni mkao wa kula apple id can be recovered but it is illegal
 
Last edited by a moderator:
"Mmiliki wa simu aliuwawa na majambazi na kuibiwa gari pamoja shilingi za kitanzania milioni 20 pamoja na simu aina ya iphone" MKUU UKIJIKUTA MBELE YA POLICE UNATAMKIWA HAYO MANENO UTAJISKIAJE?
Kwa msaada tu kama ya wizi ujue utaweza shikwa mda wowote, na kama ni ya mtu mwambie akupe password husika kama hawezi mrudishe simu yake period!!

Usimtishe mwezako saa hivi wachin awametoa box inaitwa ip box hiyo ni hatari inasoma passowrd ikisha toka password ndio una remove id apple gonga hapa .

IP-BOX iPhone Password Unlock Tool
 
Back
Top Bottom