Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

Nawezaje kuondoa iCloud Lock kwenye iPhone?

MARCO JOHN

Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
96
Reaction score
35
Waungwana kuna uwezekano wa ku unlock iPhone yenye I cloud lock ? mwenye uelewa na hili swala naomba tusaidiane kupeana elimu asanteni.
 
Kama umeiba rudisha kwa mwenyewe kama umenunua rudi kwa aliyekuuzia akupe apple id , unless uwe na apple id na password yake huo ndo msaada wa mwisho
 
Njia pekee ni kupata apple id ya hiyo simu Hakuna namna nyingine kwa sasa.
 
Waungwana kuna uwezekano wa ku unlock iPhone yenye I cloud lock? mwenye uelewa na hili swala naomba tusaidiane kupeana elimu asanteni

"Mmiliki wa simu aliuwawa na majambazi na kuibiwa gari pamoja shilingi za kitanzania milioni 20 pamoja na simu aina ya iphone" MKUU UKIJIKUTA MBELE YA POLICE UNATAMKIWA HAYO MANENO UTAJISKIAJE?

Kwa msaada tu kama ya wizi ujue utaweza shikwa mda wowote, na kama ni ya mtu mwambie akupe password husika kama hawezi mrudishe simu yake period!!
 
E-bay zinauzwa kibao, waswahili wengi wanaotumia iPone hawajui na wala hawaoni umuhimu wa feature ya find my iPhone, any way shida yangu ni kuuliza nielimishwe maana elimu haina mwisho.
 
MARCO JOHN Toa details ya simu yako mi ntakupa msaada. Ni iPhone gani na pia ina factory unlock? kama huna uhakika nenda imei.info kisha utapata details za simu yako. Hili tatizo la simu yako limekuja toka Apple walipo fix security patches kwenye iOS 7.x.x na kuendelea

Solution ziko tatu

1. Moja ni kama walivyo sema wengi hapa, mtafute aliyekuuzia akupe password au ipeleke Apple Shop kama una risiti ya Apple waliyokuuzia nayo (Original receipt)

2. Unaweza uka delete Apple ID (iCloud Account) kwa kupitia system file ya iPhone yako. Ila kwa hapa itafanya kazi kama tayari ilishawahi kutumika kwenye mitandao ya kitanzania.

3. Unaweza ku downgrade iOS yako kwenda iOS 6.1.3
 
Last edited by a moderator:
MARCO JOHN Toa details ya simu yako mi ntakupa msaada.

Ni iPhone gani na pia ina factory unlock? kama huna uhakika nenda imei.info kisha utapata details za simu yako. Hili tatizo la simu yako limekuja toka Apple walipo fix security patches kwenye iOS 7.x.x na kuendelea

Solution ziko tatu

1. Moja ni kama walivyo sema wengi hapa, mtafute aliyekuuzia akupe password au ipeleke Apple Shop kama una risiti ya Apple waliyokuuzia nayo (Original receipt)

2. Unaweza uka delete Apple ID (iCloud Account) kwa kupitia system file ya iPhone yako. Ila kwa hapa itafanya kazi kama tayari ilishawahi kutumika kwenye mitandao ya kitanzania.

3. Unaweza ku downgrade iOS yako kwenda iOS 6.1.3

1. Inawezekana

2 na 3 haiwezekani kwasabu simu ukiiwasha tu inakudai Apple ID ndio uendelee

Na ukisikia icloud lock basi ujue ndio hiyo security apple walioi fix
 
1. Inawezekana
2 na 3 haiwezekani kwasabu simu ukiiwasha tu inakudai Apple ID ndio uendelee

Na ukisikia icloud lock basi ujue ndio hiyo security apple walioi fix

Mkuu I'm talking from experience mimi nina iPhone 4S ilikuwa na iOS 7.1.2 na iCloud Lock sasa hivi naitumia kama kawaida, tena yangu ilikuwa na iCloud ya mtu wa Australia. Nili downgrade kwenda 6.1.3. THANKS TO YOUTUBE
 
Mkuu unaposema ilikua na iCloud lock kisha uka downgrade.... How?

Labda kati ya mimi au wewe hatuelewi maana ya iCloud lock

Nijuavyo mimi unapowasha tu idevice yako immediately inakutaka kuingiza Apple ID uli uendelee. So unaposema ulidowngrade inakuwaje hapo

Hebu tuwekee hiyo video ya youtube hapa maana usije kuchanganya na iphone kuwa haijawa locked lakini ina waka na ina apple id ya mtu mwingine, hapa unaweza kuifuta

Lakini ikijilock kwa icloud lock maana yake huwezi kuiwasha tena hadi apple id
Naomba ufafanuzi ume bypass vipi icloud lock wakati wa kuwasha iphone yako?
 
How to downgrade iOS 7.1.x to 6.1.3 on iPhone 4 (NO SHSH Blobs): https://www.youtube.com/watch?v=5tRd-77B-vg

NEW 7.1.2 Activation Lock Bypass: https://www.youtube.com/watch?v=8pAwCsXL28g

Usizoee kutafuniwa kila kitu Paul S.S fanya jitihada zako mwenyewe kwanza

Mkuu natumia simu siwezi kuangalia link hizo na kutoa comment yangu

Lakini ukienda youtube ukasearch jinsi ya kubypass hii kitu utapata matokeo zaidi ya video miatano zinazoelekeza lakini zote ni za uongo hakuna inayofanya kazi
Ukisearch google kuna article zaidi ya elfu moja zinaelezea lakini zote ni uongo tu
Kuna hadi huduma za kulipia lakini zote uongo

Maadam umenipa hizi ntazifanyia kazi na wadau wenye iphone zilizolockiwa wapo watajaribu na kuthibitisha

Lakini kwasasa bado naamini haiwezekani
 
Mkuu natumia simu siwezi kuangalia link hizo na kutoa comment yangu

Lakini ukienda youtube ukasearch jinsi ya kubypass hii kitu utapata matokeo zaidi ya video miatano zinazoelekeza lakini zote ni za uongo hakuna inayofanya kazi

Maadam umenipa hizi ntazifanyia kazi na wadau wenye iphone zilizolockiwa wapo watajaribu na kuthibitisha

Lakini kwasasa bado naamini haiwezekani

Kama unajua system files za iPhone (Ukitumia SSH utaziona) activation screen inaletwa na file lenye jina setup.app ambalo liko kwenye applications folder ya iPhone. Kuna simu nyingine uki delete hilo file inafunguka vizuri.

Ila kwa simu ambazo zimetoka mwisho wa mwaka jana na zina 7.1.2 and above, hizo ndio zimepigwa security kali. Ila kama unavyojua nothing is impossible hiyo security lock imetengenezwa na binadamu
 
Back
Top Bottom