Is it serious??? Nashindwa kuamini, kama mlianza wote mkiwa hamna familia kwanini hamkuwa na uelekeo wa kuanzisha familia...ilihali mlikua mnapendana??? Leo mmepata wenza mnaanza kuwadokolea!!Jaman ninaswali kuna mtu nampenda ananipenda kuna sababu zilifanya tusiwe wote. Ameoa nimeolewa nawatoto wawili anawatoto wawili. Ila ni mtu ananifaham nami namfaham kiundani zaidi ya wenzi wetu. Tulikuwa na uhusiano kabla ya kuwa na familia. Na uhusiano wetu haukuwa na mpango wakuwa na familia pamoja hilo tulilielewa mapema. Alipopata mwenza alinijulisha na tukaweka mikakati ya kutomkwaza mwenza wake. Alipoooa tuliendelea kuwa pamoja ila kwa mikakati ile ile. Nilipopata mwenza basi tukaweza kufanya vile vile. Na leo ninamiaka mitano katika ndoa na yeye anaiaka sita na nusu katika ndoa yake. Ni mwanaume anaenifaham anajua kipi napenda kipi sipendi wapi nimekwazika wapi sijakwazika hata mm pia. Kamuita mtoto wake jina langu. Nilishindwa kuamua jina la mwanangu maana madaraka yako kwa mume wangu ila nilitamani nimuite pia. Maisha yetu yameendelea. Kuna kipindi tulikwama ujenz alinisaidia sana. Kwakweli ni mtu wakaribu katika maisha yangu. Ila kila napofikiria huyu niliefunga nae ndoa najiona nafanya kosa kubwa. Ni ngumu yeye kujua kwani uhusiano wetu si wakujionesha hata kidgo siwez kaa bar wala sehem ya starehe nikiwa nae wala siwez kulala gesti. Ninapotaka kuonana nae naenda umbali na mazingira ninayoishi. Ambako hakuna uwezekano wa wenza wetu kujua. Ninaumia tu kwamba nitaacha lini kutoka nje ya ndoa yangu niliyoapa kanisan. Hebu nishaurini maana huyu nampenda ila si wangu halali
Atavitupa nje (physically) ila deep in the heart ataendelea kuishi naye!unaweza muacha kupitia hii mbinu...hakikisha usikumbuke wala usifanye mambo ambayo mlikuwa mnafanya mkiwa nae,usikumbuke fadhila zake hata chembe,tupa vitu vyote ambavyo alikupa au alikununulia,zingatia akili yako yote kwa mumeo wa sasa....utamsahau hatimaye utamacha kams alivyo...
hamna...ukitupa vitu unakuwa umei-fomart mind yako so kumkumbuka kirahisi inakuwa ngumu....mwishowe unamsahau kabisa...Atavitupa nje (physically) ila deep in the heart ataendelea kuishi naye!
Shetani mkubwa wewe ulaaniwe, nyie ndio mnatufanya tusioe wanawake tunaokutana ukubwani bz wanakuwa washafanya mengi, wewe endelea naye tu hata ukitaka MPE Tigo ila wewe ni malaya mbwa Mkubwa wewe IPO siku utaumbuka
Nahis it is too soon to judge. No one is perfect. Anapaswa aingie kwenye maombi. Mungu ni mwema atafanya njia.Shetani mkubwa wewe ulaaniwe, nyie ndio mnatufanya tusioe wanawake tunaokutana ukubwani bz wanakuwa washafanya mengi, wewe endelea naye tu hata ukitaka MPE Tigo ila wewe ni malaya mbwa Mkubwa wewe IPO siku utaumbuka
Mkuu punguza hasira basi!! Ni kweli hii inachefua lakini tumsaidie coz kaonyesha nia ya kumuacha aendeShetani mkubwa wewe ulaaniwe, nyie ndio mnatufanya tusioe wanawake tunaokutana ukubwani bz wanakuwa washafanya mengi, wewe endelea naye tu hata ukitaka MPE Tigo ila wewe ni malaya mbwa Mkubwa wewe IPO siku utaumbuka
Ok....it can be one step ahead....duuuh ila haya mambo ya mahusiano na ndoa ni magumu sana! Unaweza ukawa ktk ndoa na mtu ila huna mahusiano nae, ukabakia kwenye mahusiano na jamaa yako wa zamani! Mungu atusaidie peke yetu hatuwezi!!hamna...ukitupa vitu unakuwa umei-fomart mind yako so kumkumbuka kirahisi inakuwa ngumu....mwishowe unamsahau kabisa...