Nawezaje kumuacha ingali bado nampenda?

Nawezaje kumuacha ingali bado nampenda?

1. Usimuache subiri akuche yeye. Eee maana hakuna namna sasa, kama wewe huwezi kumuacha kwanini ujilazimishe kumuacha..

2. Tafta msichana mwingine kabla hujamuacha huyo ukishakuwa busy na mtu mwingine huyo utamuacha automatic tu.

3. Acha ujinga
4. BETI MECHI ZA YANGA NA LIPULI!!!
 
Aisee kuna mapenzi kwenye umri fulani ni shida sana. Anaeleweke the way anavyoumia.......halafu ukute dada kamzidi vitu vingi sana..... ikiwa ni pamoja na mwenzake kuanza mapenzi akiwa tangu darasa la 6 wakati masikini kijana wa watu huyu ndo demu wake wa kwanza.
Msaidieni jamani anaweza hata commit sucide.
 
Hili liwe somo kwako;

Uache kujitoa sadaka kwa wanawake wa Tz. Utaishia pabaya sana.

Mpige chini mapema ili uumie na ujifunze.
Hakuna kampani za mwanamke na wanaume, mwisho wake huishia kuwa wapenzi na jamii humuona jumla ni malaya tu.
Ni sahih
 
Mbona rahisi tu hapo tafuta wadada hata watatu hivi uwe na urafiki nao uwe na kawaida ya kuongea nao lugha ya kimapenzi(Flirt with them) na kutembea nao kila mtu na muda wake sio mtembee wote wanne hapana,atapata wivu na wewe utajikuta umewapenda hao wadada utamsahau tu...
"DAWA YA MOTO NI MOTO"
 
Ana urafiki na wanaume na wewe una urafiki na wanawake ina cancel each other mwanaume hashindwi chochote...Be a man!
 
Ndugu zangu natumai mu wazima,
Nimekua kwenye uhusiano na binti flani, kiukweli huyu binti nimempenda mapenzi ya dhati , yani real love
Nimekua nae yeye peke yake tu yani kipindi chote nimempenda yeye tu bila kuchepuka,
Nimempenda sana kiukweli hata na yeye alijua kua nampenda sana na niko nae yeye pekee,
Sasa nilipata maneno kutoka kwa mama mmoja, aliniita na kunieleza kwamba binti huyo si mzuri wa tabia, kwamba ni malaya,
Kiukweli nilianza kufuatilia mienendo ya binti inaonekana kampani yake kubwa ni wanaume, nikamuuliza kwanini akanijibu eti yeye anapenda sana kampani ya wanaume kwakua hawana majungu kama wanawake,
Binti mwenyewe yuko kwa wazazi wake na amehitimu mwaka jana stashahada ya statistics
Kiukweli mimi ninampenda sana lakini najifikiria kumuacha,
Wakuu nisaidieni njia nifanyeje ili nimsahau kabisa, kwani nahitaji kumuacha ingali bado nampenda,
Nataka kumuacha kwakua nimehisi atanisumbua na stress siki za usoni,
Maana.kila nikimkuta na mwanaume anadai ni rafiki yake, na mimi hali hiyo naona sitaiweza kwakweli,
Ndugu zangu nifanyeje ili nimsahau kabisa
Ni njia gani watu hufanya ili kumiacha mtu ingali bado unmpenda?
Maana kuna mda najitahidi nisimpigie simu wala text lakini nnashindwa kumudu nampigia,
Akitaka tuonane anakuja kwangu tunaongea vizuri tu ila mimi moyo unataka kumuacha ila nimeshindwa
Mawazo yenu wadau
Real love never exist.
I loved someone back in days, hell she was and no matter what she did to me. I took it.
Muhfuk English... niliweza kumuacha na sasa sitaki kumuona hata nikiugua dawa anaijua yeye tu dunia nzima bora nife.
 
Demu keshakuona wewe ni kichwa maji yani hata akigongwa mbele yako bado utampenda tu that why she take you for granted

ngoja nikushauri rafiki, "Sio sheria wala sehemu yoyote imeandikwa ni lazima tuwe na tunaowapenda, kumbuka nao kuna watu wanaowapenda au wanaowatesa kimapenzi kama anavyokutesa wewe"

The only way to get someone attention is to stop give them yours, kama umeona maji yamefika shingoni jitahidi tu umuache hamna namna futa namba, usimtafute usimpigie simu, futa meseji futa picha cancel connection zote, sio kwamba huwezi sema tatizo hujaamua au unajionea huruma

Amua, tekeleza then jichanganye na watu, usikae peke yako, ukiona vipi kua bize na kazi, mazoezi ili uuchoshe mwili hata ukiwa alone usingizi huu hapa unalala,, mimi pia nimeweza mpaka sasa Im free from pain, hope na wewe utaweza

hizi quotes zilinisaidia sana huenda nawe zitakusaida

* Know your worth.
* Sometimes not getting what you
want is a stroke kind of luck.
* Not every loss is a loss.
* It's you versus you
* Don't waste your time watering a
dead plant.
* Don't force connection when its
over leave, its called self respect.
Acha Kumpigia Dogo Ramli!
 
Ndugu zangu natumai mu wazima,
Nimekua kwenye uhusiano na binti flani, kiukweli huyu binti nimempenda mapenzi ya dhati , yani real love
Nimekua nae yeye peke yake tu yani kipindi chote nimempenda yeye tu bila kuchepuka,
Nimempenda sana kiukweli hata na yeye alijua kua nampenda sana na niko nae yeye pekee,
Sasa nilipata maneno kutoka kwa mama mmoja, aliniita na kunieleza kwamba binti huyo si mzuri wa tabia, kwamba ni malaya,
Kiukweli nilianza kufuatilia mienendo ya binti inaonekana kampani yake kubwa ni wanaume, nikamuuliza kwanini akanijibu eti yeye anapenda sana kampani ya wanaume kwakua hawana majungu kama wanawake,
Binti mwenyewe yuko kwa wazazi wake na amehitimu mwaka jana stashahada ya statistics
Kiukweli mimi ninampenda sana lakini najifikiria kumuacha,
Wakuu nisaidieni njia nifanyeje ili nimsahau kabisa, kwani nahitaji kumuacha ingali bado nampenda,
Nataka kumuacha kwakua nimehisi atanisumbua na stress siki za usoni,
Maana.kila nikimkuta na mwanaume anadai ni rafiki yake, na mimi hali hiyo naona sitaiweza kwakweli,
Ndugu zangu nifanyeje ili nimsahau kabisa
Ni njia gani watu hufanya ili kumiacha mtu ingali bado unmpenda?
Maana kuna mda najitahidi nisimpigie simu wala text lakini nnashindwa kumudu nampigia,
Akitaka tuonane anakuja kwangu tunaongea vizuri tu ila mimi moyo unataka kumuacha ila nimeshindwa
Mawazo yenu wadau
Inaonekana suala la mapenz kwako halina subira wala kufanya tafiti za kutosha ili kuchukua maamuzi. Na baadhi ya watu wakikujua basi kila demu utakaempata ukipewa umbeya tu unaacha. Labda swali hapo?
Unachotaka kumuacha huyo mwanamke ni kuambiwa na huyo mama au tabia za kuwa na wanaume anakaa nao kupiga nao story? Je ukimuacha na kumpata mwingine labda yeye nae ana tabia flani huzipendi, utawaacha wangapi?

Piece of an advice :-
1: wapo wanawake wengine wanaozaliwa na aina flani za hormones za kiume na wengine utajua kwa kuwa na ndevu, garden love na n.k. Wengine utawaona wasela au maisha flani ya kisela sela kama akina...... Yule wa bss na wengi wao hupenda sana kuvaa kaptula na suruali flani ngumu ngumu zile za rangi km ya jeshi. Wengi wa mademu wa dizaini hyo ni watu wa arusha.
2: hyo hormone ndo inamfanya aweze kuwadharau jinsia ya kike wenzake kwani mwanamke wa dizaini hyo huwa hapendi tabia zote za wanawake wenzie na akijua umemsema, umemsengenya basi ni mtu wa kushusha kipondo.
3: mazoea hayo na wanaume sio kuwa ndo malaya, ila usitumie njia hyo kutongoza maana hakawii kukupa makavu.
4: wanawake wa aina hyo huwa si wapenz sana wa kupenda kufanya mapenzi mara kwa mara, unaweza kukorofishana nae.
5: si watu wa kupenda kujulikana anapendwa na nani.
6: mikao yao na anavyojiachia kama mwanaume flani hv.
7: saikolojia yao huwa inaadhiriwa na hormones hizo na baadhi wa wanawake hormones hizo zikiwa nyingi basi ndo utasikia wanasagana na yeye anajifanya ndo mwanaume.

Mwisho wa siku akiolewa huwez badilika na kuona kaolewa hivyo sometimes mambo mengine ya kimapenzi ya kiafrica huishia kwenye full frustrations kwa mambo ambayo hata mengine yanahitaji kupata taarifa toka kwenye watu wenye uelewa huo ili na mwanaume ajue nini cha kufanya na kuachana na taarifa zisizo na TBS then unachukua hatua kwa hasira. Kesho na keshokutwa Unaanza kujutia
 
Asante๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Ut
Ndugu zangu natumai mu wazima,
Nimekua kwenye uhusiano na binti flani, kiukweli huyu binti nimempenda mapenzi ya dhati , yani real love
Nimekua nae yeye peke yake tu yani kipindi chote nimempenda yeye tu bila kuchepuka,
Nimempenda sana kiukweli hata na yeye alijua kua nampenda sana na niko nae yeye pekee,
Sasa nilipata maneno kutoka kwa mama mmoja, aliniita na kunieleza kwamba binti huyo si mzuri wa tabia, kwamba ni malaya,
Kiukweli nilianza kufuatilia mienendo ya binti inaonekana kampani yake kubwa ni wanaume, nikamuuliza kwanini akanijibu eti yeye anapenda sana kampani ya wanaume kwakua hawana majungu kama wanawake,
Binti mwenyewe yuko kwa wazazi wake na amehitimu mwaka jana stashahada ya statistics
Kiukweli mimi ninampenda sana lakini najifikiria kumuacha,
Wakuu nisaidieni njia nifanyeje ili nimsahau kabisa, kwani nahitaji kumuacha ingali bado nampenda,
Nataka kumuacha kwakua nimehisi atanisumbua na stress siki za usoni,
Maana.kila nikimkuta na mwanaume anadai ni rafiki yake, na mimi hali hiyo naona sitaiweza kwakweli,
Ndugu zangu nifanyeje ili nimsahau kabisa
Ni njia gani watu hufanya ili kumiacha mtu ingali bado unmpenda?
Maana kuna mda najitahidi nisimpigie simu wala text lakini nnashindwa kumudu nampigia,
Akitaka tuonane anakuja kwangu tunaongea vizuri tu ila mimi moyo unataka kumuacha ila nimeshindwa
Mawazo yenu wadau
Utayajutia maamuzi yako. Kuna wamama waharibifu wa mahusiano pia, hawataki mabinti wa wenzao wasifike kwa tabia njema au waolewe. Mf. Kwa wanawake waliosoma masomo ya sayansi wanaume ni kampani yao kubwa maana hata darasani kati ya watu 90 wanawake wanaweza kuwa 10. Umalaya ni hulka sio kuelewana tu na wanaume
 
Ramli kivipi wewe unaona raha anavoteseka, tabia ya mtu ni kama ngozi ya mwili huwezi kuibadili hivyo uyo demu hawezi kubadilishwa tabia hadi aamue mwenyewe kubadilika hivo kama jamaa haoni dalili za demu ku behave kama anavyotaka basi aachane nae au achague kuvumilia but akumbuke kua

IN EVERY DECISION YOU MAKE THERE IS A PRICE TO PAY.
Acha Kumpigia Dogo Ramli!
 
1. Usimuache subiri akuche yeye. Eee maana hakuna namna sasa, kama wewe huwezi kumuacha kwanini ujilazimishe kumuacha..

2. Tafta msichana mwingine kabla hujamuacha huyo ukishakuwa busy na mtu mwingine huyo utamuacha automatic tu.

3. Acha ujinga
azingatie zaidi namba tatu
 
Back
Top Bottom