Nawezaje kumuacha huyu msichana

Nawezaje kumuacha huyu msichana

Huo ninuzembe wako.. hutaki kuachwa wakati upande wa nyuma wa shilingu Shoo haupigi sasa unategemea nini wakati dada zetu sikuiz wanapenda tango sana kuliko mapenzi. Me nnacho kushauri mtafute muonane afu mchokoze hadi ule mambo hapo ndo atarudirudi kwenye kamba yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂
Muwafundishe jamani siunajua jando na unyago iliwasaidia mababu(na mabibi) halafu mababu wakawasaidia nyie kwa njia ya simulizi, nanyi zamu yenu kwa kutumia mitandao, lakini hamuitendei haki. Kizazi kinaangamia hiki.
Kwahiyo nyie watoto wa siku hizi mkitaka kumwacha demu mnaomba ridhaa yake, akigoma mnaomba ushauri huku duniani !!! Stupid kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Bila shaka hamjaanza kujifunza uandishi wa insha shuleni kwenu.
2. Kujihusisha na mapenzi shuleni ni kucheza kamali.
Unaweza kuishia njiani na kukatiza ndoto zako kabisa.
sijui hata km wanasomeshwa Communication Skill au alifaulu Kiswahili
Vyuo vya siku hizi hata iwe Kata au University
 
😂😂😂😂
Muwafundishe jamani siunajua jando na unyago iliwasaidia mababu(na mabibi) halafu mababu wakawasaidia nyie kwa njia ya simulizi, nanyi zamu yenu kwa kutumia mitandao, lakini hamuitendei haki. Kizazi kinaangamia hiki.
Watoto wa sikuhizi jeuri sana, wanaziheshimu simu za mkononi na tv kuliko wakubwa wanaowalea, stupid kabisa
 
1.Bila shaka hamjaanza kujifunza uandishi wa insha shuleni kwenu.
2. Kujihusisha na mapenzi shuleni ni kucheza kamali.
Unaweza kuishia njiani na kukatiza ndoto zako kabisa.
sijui hata km wanasomeshwa Communication Skill au alifaulu Kiswahili
Vyuo vya siku hizi hata iwe Kata au University uandishi kazi kwelikweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom