fedha girls hiyo shule iko wapi??..namtumbo au??


Hawa watoto wanatuharibia jukwaaKhaaaa!!
Bat yaan bat..ngoja kukuche
Mtoto wa o'level achana na dada zako hao chukua wa form free hawana necta sahivi halafu msiende deep sana mkajuana ukampa kitungo utaenda jela umesikia wewe dogo boya.
kweli mapenzi upofu.na anampost mtu ambae alikuw anamtak nikimuuliz anasema just friend naumia sana.
Kwanini mkuu.?
Nimecheka sana nimekumbuka game moja huwa nacheza inaitwa Alchemy2🤣🤣🤣🤣🤣🤣bat + misumari= paa la nyumba