J boaz
Member
- Sep 26, 2019
- 15
- 7
Ndugu zangu mim ni mwanafunzi wa chuo ambae nipo kwenye mahusiano na msichana ambae ni mdogo kiumri kwangu pia bado mwanafunzi yupo form6 fedha girls saivi na ni msichana ambae kwao kuna uwezo na mimi nipo kwenye standard level.
I mean maisha ya kati but mwanzo nilimfata baada ya kuwa tuna bishana na rafiki yangu kama siwezi kumpata at the end nilifanikiw but siku zilivyo zidi kwenda nilijikuta nampenda kupitiliza na yeye pia alikuwa akinipend kiasi icho paka saivi tangu nianze naye mahusiano tuna mwaka na nusu mpaka sasa na nina miezi sita sijafanyane chochote japo ilo sio tatizo kwangu mana nampenda ila tatizo saivi amebadilik sana tofauti na mwanzo.
Japo huwa namcheat bila yeye kujua na hata akiambiwa hawezi kuamini kwa jinsi nivyokuwa namtreate zawadi za kutosha namtoa out kwa kiasi chake pia alikuwa akifanya ivyo ivyo na kupitiliza kodi ya nyumba alikuwa akinilipia tulikuw tuna share each and everything bat last time kabla ajaenda shule nikakuta ameanza kuweka passwords kwenye upande wa message ukipiga cm usiku unakuta inatumika amebadilika sana saivi nilijaribu kumuwek saw inashindikan na anampost mtu ambae alikuw anamtak nikimuuliz anasema just friend naumia sana.
Ila ilifika mda nikamwambia naomba tuachane aendelee na mambo yake ila chakushangaz ikifika kesho yake unakut sms nzuri kama amjaachan mwisho wa siku najikut naendelea nae zaidi ya mala2 imetokea nifanyaje niweze kumuepuka au kumuweka sawa tuishi kam mwanzo naombeni ushauri kwa wenye experience.