luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,104
- 21,486
Wewe unataka chuchu saa 6?
Embu muulize maana haiwezekani mtu hajazaa nyonyo ilale
Kuhusu tumbo wanasema kila mtu kuna jinsi alivyoumbwa, kuna wengine wakizaa linabaki vile vile, wengine linaachia kidogo na michirizi.
Mm navyojua tumbo ambalo halijabeba mtoto lazima liwe natural
Kuhusu uke, mmmmh hapo kuna mengi, wenda hajazaa ila anafanya mapenzi mara kwa mara.
Pole muulize direct