Acha hizo bhana, anakuheshimu? Ananidhamu? Unamuelewa sana? Unamkubali? Anafaa kuwa mke? Basi hayo achana nayo, ila tafuta mtu wake wa karibu anayeweza kuwa mkweli kwako akupatie historia yake kama.aliwahi kuzaa utajua, zaidi ya hayo OA
Mzee baba unataka kitu Kwaliti ama nini... chuchu saa sita wowowo mita mbili nyuma??Ndio kwanza tumeonana kwa mara ya kwanza.
Mkuu kuchagua mke sio rahisi namna hiyo,hakuna asiependa quality.
Hiyo vidole achana nayo kuna wabinti wanamabwawa hata kabla hajazaa, ukimwangalia vidole vya miguuni au midomo unajua tu hapo ni stiglers gorge. Nikushauri tu we unaonekana humtaki hujapendezwa nae bora umuache mapema ajijueHabari wakuu,kuna jambo limenitatiza japo kwa wengine inaweza kuwa rahisi kulingana na asili ya mazingira waliokulia.Kwa ufupi nina mchumba tumeahidia kuishi pamoja hapo baadae,tatizo limekuja wakati tunanjunjika kwa mara ya kwanza (sababu tulikua maeneo tofaut haikua rahisi kuonana mara kwa mara)
Mrembo wangu maziwa yameshuka ili linamtatiza mpaka yeye anaficha kwa kufunik na kipande cha nguo,kule chini mamb sio haba kuna space ya kutosha kwa kawaida kumfaham aliekwisha jifungua unazamish vidole viwili kwa wakat mmoja vikipita basi hapo tayari.
Pia kwa upande wa tumbo limelegea sana upande wa mbele linamwonekano flani wa makunyanzi.Japo kuwa mapenzi ni upendo ila kudanganyana sio suala zuri ni chanzo mahusiano mengi kupungu na kufa kwa ujumla.
Najua sio hekima na busara kuuchambua urembo wa mpendwa wangu ila ningependa kujiondoa hofu niliyonayo.Nategemea kupata michango mbalimbali toka kwenu lengo langu ni kujihakikishia tayari au bado ikumbukwe pia abortion ni nusu ya kujifungua.
Chuchu kufunguka haimanishi keshazaa, bali nikithihitisho tosha kua aliwah beba mimba..sasa mimba inaeza kua alitoa au alizaa.Chuchu zinafunguka vip Mr??
Mfano Uwoya.Kuna watu hawajazaa maziwa yashadondokaa "poleni sana "
Mwanamke ambae sio bikra lazima vidole viwili vipite awe amezaa au hajazaa ..
Kuna wengine ukimuona tu unaweza dhania ana watoto 3 lakin kumbe hana hata mmoja na kuna wengine wana watoto wengi ila wana miili mizuri tu na unaweza dhanua hajazaa
The Choise is yours bro
Kuna story za uongo humu hadi raha
Kabisa shida ya lile jukwaa ni Mr stoneJukwaa la siasa pekee ndio halina chai.