Nawezaje kukosa UKUTA kwa urembo huu

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,454
3,469
1472111668918.jpg
 
Sasa huku ni kutafutiana Ban na kutafutwa na Makamanda wacha nimeze mate tu kimya kimya... ile....mmm khough khough

Nawezaje kujiunga na jeshi hilo? Mwongozo tafadhari Wadau
 
Haya mate mate yenu msishangae kesho Waziri akiagiza "wale wote waliowatamani polisi kwenye mitandao washughulikiwe" heri mimi sijasema.!
 
Napendekeza hao wapewe na vifaru kabisa maana waandamanaji wote watahamia huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom