Martine Tibe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 221
- 159
Hivi nawezaje kujua Kama simu yangu imetrakiwa(hacked/ kudukuliwa) kwa kutumia IMEI ?. Na je ntajiondoaje?
Kuna mtu simwelewi maana nikipgiwa simu yeye anajua kuwa hii ni namba ngeni . NifanyejeTCRA Kazi Yao Kubwa Sana Pia Ni Kukulinda Usidukuliwe!!
Kuna mtu simwelewi maana nikipgiwa simu yeye anajua kuwa hii ni namba ngeni . Nifanyeje





piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Inaandika hivi, CALL DIVERT WHEN NO ANSWER DEACTIVETED je Niko salma aupiga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Ngja waje wataalmInaandikwa servise off je inakuaje hapo
Upo salamaInaandika hivi, CALL DIVERT WHEN NO ANSWER DEACTIVETED je Niko salma au
Hii ni kweli au unatulisha matango pori? Mwaka jana nilicheki nikaona simu zangu zinakuwa forwarded ubalozi wa Marekani. Je nipo salama?piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Upo salama
Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa monitoring devicekwenye namba yako . hope kwa wale wenye doubt jinsi ya kuondoa hizo jibu limepatikana, wish you all the best marafikiSasa na ukiona hiyo Forwarded unatakiwa uafanyaje
Hii ni kweli au unatulisha matango pori? Mwaka jana nilicheki nikaona simu zangu zinakuwa forwarded ubalozi wa Marekani. Je nipo salama?
Nadhani code genuine ya ku deactivate call divert ni ##002# kwa mitandao yote.Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa monitoring devicekwenye namba yako . hope kwa wale wenye doubt jinsi ya kuondoa hizo jibu limepatikana, wish you all the best marafiki
Hapo tatizo ni language tuInaandika hivi, CALL DIVERT WHEN NO ANSWER DEACTIVETED je Niko salma au
nikitaka kuwa naforward calls zannngu kwa mtu nafanyaje? inakuwaje?kuna tofaut gan kati ya call forwarding na diverting?Nadhani code genuine ya ku deactivate call divert ni ##002# kwa mitandao yote.
Hiyo ##21# kuna baadhi ya mitandao inagoma.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tofauti ni lugha tunikitaka kuwa naforward calls zannngu kwa mtu nafanyaje? inakuwaje?kuna tofaut gan kati ya call forwarding na diverting?
forward na divert.