Nawezaje kujiendeleza Kielimu?

Nawezaje kujiendeleza Kielimu?

tonnylee

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
24
Reaction score
4
Habari wana JF

Nina umri wa miaka 30 nimeishia drs la Saba ila napata fursa nyingi sana lakini kutokana na elimu yangu ni ndogo Kuna baadhi ya fursa zinanipita naombeni msaada nawezaje kujiendeleza kielimu uku nikifanya shughuli zangu za kila siku.?

Ahsanteni.
 
pole sana mkuu,,maishani kila kitu kinawezekana ila changamoto kubwa ni wewe mwenyewe kuwa na utayari mkuu.kama ushaamua ni vema ukaanzia QT kupitia huko utapata cheti cha form four ambacho kitafany mabadiliko mengi ambayo yatakuwa kusudio la nafsi yako.
 
Back
Top Bottom