kipanga85
JF-Expert Member
- Apr 15, 2024
- 2,678
- 7,281
Basi sawa we endelea hivyo hivyo ila usije kusema hukuambiwa..Hapana Mkuu Naomba ushauri
Ndio, kwenye vitabu huwa wanaandika kwa utulivuHizo vitabu zimeandikwa na majini eeh? 🤔🤔
Sisi tulisoma na tuliondika hivo vitabu ndio tunamshauri pia hapa😂😂😂Ndio, kwenye vitabu huwa wanaandika kwa utulivu
Una miaka mingapi? Nipe hata range ya umri wakoNitumie kitabu mkuu
Hahaa 😂 mbona kitabu chako umeandika vizuri, na humu unasema tofautiSisi tulisoma na tuliondika hivo vitabu ndio tunamshauri pia hapa😂😂😂
😂😂Kitabu niliandika ili niuze, hapa naandika sababu ameomba ushauri😂😂Hahaa 😂 mbona kitabu chako umeandika vizuri, na humu unasema tofauti
Anza na hiki kwanza, ili uweze kujiendesha28 Mkuu