hyle master
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 209
- 23
Habari zenu wakuu nahitaji kujua jinsi gani ya install Ubuntu kwenye PC inayo run windows 8.1
Thanks mkuu
download ubuntu for desktop kutoka kwenye site yao The leading OS for PC, tablet, phone and cloud | Ubuntu ... fanya installation kawaida kutokea windows, inajiinstall yenyewe na kunakua na boot options mbili kwenda windows unayoitaka...