Nawezaje ku download Android app kwa matumizi ya Window phone?

yaani unachanganya juice ya azam cola na Mo cola mdomo mmoja kwa wakati mmoja sijui utapata ladha gani au haiwezekani?
 
inawezekana. mtafte chief mkwawa akupe technic
Sure nakumbuka kulikua Na topic humu, alieleza namna ya kubadili android app kwenda Windows, mada ilikua app nyingi za Window phone Ni za kulipia wakati android Ni free, ndo wadau wakaweka maujanja ya kufanya, ngoja ntamcheck Chief! Asante mkuu!
 
Back
Top Bottom