- Thread starter
- #21
mkuu ongeza RAM angalau 1gb, hiyo yako ni ndogo sana!
poa mkuu.
mkuu ongeza RAM angalau 1gb, hiyo yako ni ndogo sana!
Yah.. Application za 32 na 64 ni tofauti....... Ila kwa sasa za 32 ndo zinapatikana kirahisi....... Ila kuna nyingine zinapiga kazi kote kote...
so inamaanisha kuwa 64 ni acceptable ya OS yeyote mkuu na je OS za 86 bit ina allow!..?