Nawezaje badilisha pc yangu ya 32 bit ku run 64 bit.!

mbona watu wanatoa explanation zisizo sahihi my machine ilikua bit 64 ila kutoka na apps za kazi zangu ikawa inakataa inaleta issue nikaweka window ya bit 32 na imekubali na kila kitu kiko sawa!! u need to format though! ila sijui kama inawezekana from bit 32 to bit 64 nadhan wataalam wanawezq tujuza zaidi
 
mkuu shukrani kwa kunitia moyo ila pc yangu inasoma hiv
CPU make /modal ni Intel (R) 4 CPU 2.60GHz
NA INFO NYINGINE NI
CPU speed And Installed Memory. 2.59GHz,248 MB of RAM
naombeni mnijuze kuwa hii itakuwa ina run bit ngapi na iko slow sana hivi chanzo ni nina japokuwa ni HP.
 
unaweza kuweka windows 64bit, sio swala la processor wala nini bali utahitaji ram kuanzia 4gb. swala hapa halipo kwenye processor,
 
kama computer yako ni 32bit huwezi kuweka 64bit hata uwe na ram gb100 ila mwenye 64bit anaweza kuweka cha 32bit hata akiwa na ram chini ya gb 4
 
mkuu shukrani kwa kunitia moyo ila pc yangu inasoma hiv
CPU make /modal ni Intel (R) 4 CPU 2.60GHz
NA INFO NYINGINE NI
CPU speed And Installed Memory. 2.59GHz,248 MB of RAM
naombeni mnijuze kuwa hii itakuwa ina run bit ngapi na iko slow sana hivi chanzo ni nina japokuwa ni HP.

mkuu ongeza RAM angalau 1gb, hiyo yako ni ndogo sana!
 
Swala la 64 bits ni uwezo wa processor kusupport.... Kuna computer ambazo unaweza kuweka 64bits na 32 bits... Na nyingine unaweka 32bits tu.... Swala la 64 bits ndo technology ya sasa .. Ni sawa na wanavyojitoa ipv4 na kwenda IpV6..... Itafika wakati computer za 32 bits wataacha kutengeneza.... Kama ilivyo kwa window servers kwa sasa..... Ila nashindwa kuelewa kwa nn unataka 64 bits wakati 32bits ndo nzuri maana application zake zinapatikana kirahisi kuliko 64 ambayo applications zake huwa ni ngumu kuzipata.....
 
Watu wengi hatuji 64 na 32 bit ipo kwny nini ? Kaa mjue zote zpo upande wa pc na OS huska. Pc ikiwa manufactured for 32 bit haiwez kubal OS yoyote yny 64Bit ila yny 64bit itakubali Os yyt ya 32 au 64.
 
kama computer yako ni 32bit huwezi kuweka 64bit hata uwe na ram gb100 ila mwenye 64bit anaweza kuweka cha 32bit hata akiwa na ram chini ya gb 4

mkuu kumbe Calvin Power ananiongopea. Mkuu kwani 32 bit inaweza ku run OS za 64 bit ilhali RAM ni kubwa.
 
Watu wengi hatuji 64 na 32 bit ipo kwny nini ? Kaa mjue zote zpo upande wa pc na OS huska. Pc ikiwa manufactured for 32 bit haiwez kubal OS yoyote yny 64Bit ila yny 64bit itakubali Os yyt ya 32 au 64.

so inamaanisha kuwa 64 ni acceptable ya OS yeyote mkuu na je OS za 86 bit ina allow!..?
 
Swala la 64 bits ni uwezo wa processor kusupport.... Kuna computer ambazo unaweza kuweka 64bits na 32 bits... Na nyingine unaweka 32bits tu.... Swala la 64 bits ndo technology ya sasa .. Ni sawa na wanavyojitoa ipv4 na kwenda IpV6..... Itafika wakati computer za 32 bits wataacha kutengeneza.... Kama ilivyo kwa window servers kwa sasa..... Ila nashindwa kuelewa kwa nn unataka 64 bits wakati 32bits ndo nzuri maana application zake zinapatikana kirahisi kuliko 64 ambayo applications zake huwa ni ngumu kuzipata.....

ulimwengu unabadilika mkuu kuhusiana na suala la mimi kutaka 64 bit ni kwa sababu ya OS ya window 8.1 haiko acceptable kwenye hii bit ya 32
 
Swala la 64 bits ni uwezo wa processor kusupport.... Kuna computer ambazo unaweza kuweka 64bits na 32 bits... Na nyingine unaweka 32bits tu.... Swala la 64 bits ndo technology ya sasa .. Ni sawa na wanavyojitoa ipv4 na kwenda IpV6..... Itafika wakati computer za 32 bits wataacha kutengeneza.... Kama ilivyo kwa window servers kwa sasa..... Ila nashindwa kuelewa kwa nn unataka 64 bits wakati 32bits ndo nzuri maana application zake zinapatikana kirahisi kuliko 64 ambayo applications zake huwa ni ngumu kuzipata.....

kitu kingine ni kuwa unadai application za 32 bit hazi run kwenye 64 si kweli mkuu
 
Back
Top Bottom