Naweza sajili gari langu T...CDM

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,960
93,940
Naam naona sasa niagane na TZ 11, Mungu akijaalia mwezi ujao nami natarajia kununua gari ili nami nianze kutembelea makalio.
Ila sasa natamani sana nikipata hilo gari nilipe usajili wa T...CDM, sasa sijui hili jambo litawezekana?
 
Nilikutana na gari T CAG haa hila nawashauri tra wasi-issue T CCM kwan mapato ya sirikali yatapungua.
 
Naam naona sasa niagane na TZ 11, Mungu akijaalia mwezi ujao nami natarajia kununua gari ili nami nianze kutembelea makalio.
Ila sasa natamani sana nikipata hilo gari nilipe usajili wa T...CDM, sasa sijui hili jambo litawezekana?

ngoma ikilia sana..........
 
Mimi hapa nilipo nasubiria (gari lipo yard), ikifika T....CCM tu, naenda kuliandikisha.
CCM damu damu!

Naam naona sasa niagane na TZ 11, Mungu akijaalia mwezi ujao nami natarajia kununua gari ili nami nianze kutembelea makalio.
Ila sasa natamani sana nikipata hilo gari nilipe usajili wa T...CDM, sasa sijui hili jambo litawezekana?
 
jitahidi sana kufanya timing, sana sana wasiliana na mawakala wa mizigo ili upate T... CDM lakini usipoangalia itakula kwako, utaibuka na T... CCM

nitafanya hivyo mkuu,ila nadhani hata nikichelewa nitaishia kupata T...CUF, si unajua katika A-Z inaanza C,D.....U
 
Mimi hapa nilipo nasubiria (gari lipo yard), ikifika T....CCM tu, naenda kuliandikisha.
CCM damu damu!

Nadhani inawezekana fanya nawe mpango kuuliza, maana nishawahi kuona GX 110 moja ina registration T MUGANYIZI 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom