mkuu . kuna gofu lina vyumba sita na lina umeme lipo sehemu nzuri tu . mwananyamala kisiwani gari inafika mpaka hapo kama unamaanisha njoo nikupeleke kwa mwenyewe . mkamalize biashara 0657145555
mkuu,kweli uko serious au unatania????
mil. 15 ni kiwanja sio nyumba.kwa hapa dar wakikusikia watakwambia ipo nyumba ya hivo halafu wanakuibia visent vyako hivyo.
sasa nakuomba uwe smart kidogo ktk search yako,jiji hili.
ni pm nikuunganishe na jamaa ana kiwanja chenye chumba kimoja kinyerezi.anauza mil 12.
mkuu kama uko serious, nyumba ipo imekamilika iko kwenye eneo la ukubwa wa 20 mita kwa 15 maeneo ya tegeta nyumba haina utata wala mgogoro wala utapeli piga 0768061188
Mimi mdogo wangu anuza Nyumba yake kiasi hicho hicho na nyumba imekwisha kabisa labda kama una mahitaji mengine
Nyumba hiyo ipo KINYEREZI
Kwa maelezo zaidi kwa nini anauza muulize mwenyewe No.0652 131653, anaitwa Spora ASANTE SANA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.