Naweza pata new friends (GF)

But what I didn't notice before is that I'm the youngest person in JF I thought there would any other members of my age but now I'm finding myself alone
So I'll try to cope with the situation
People of my age are still in school
My young sibling is watching you. He is 18 yrs old and matured.
 
.Kijana hiii speed unayoenda nayo watu wanakuona kituko tu mambo ya facebook unaleta uku mzee kwa kukuona tu usaidiki kabisaaa ungeanza kwanza uko kwenye majukwaa ya elimu walau uanze kusoma vitabu kuna nyuzi kibao za kujifunza mambo mengi tu yatakayokusaidia kwenye moja na mbili mzee embu pita uko kwenye jukwaa la ufugaji na kilimo kwanza maana naona bado unawenge bado una ujinga mwingi kichwani unaonekana ni mtu wa masifa sana kwa huu mwendo mzee bila kubadilika umu utaishia pa baya kuza kipato kama ni kuoa watakuja utachagua ni hayo tu kama kuna la kuongeza wataongeza wana jamvi wengine uko
 
Aya bana sina neno
 
But what I didn't notice before is that I'm the youngest person in JF I thought there would any other members of my age but now I'm finding myself alone
So I'll try to cope with the situation
People of my age are still in school
ur agemates are still in school , Rudi shule😶😶
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom