Mhusika anahitaji line za vifurushi vya 70k sio za enterprise zenye kifurushi kidogo cha 110kinawezekana labda wewe huwez lain za kifurush cha 110k + zinauzwa 7k router ku unlock router 10k software version lazma iwe chin ya 4.0.1 kama huwez kaa pemben angalia router nime unlock kabisa lain za kifurush cha 50 mbps had 120mbps zinauzwa 100k (kile kifurush cha 150k unakipata kwa 50k ) na unazipata vzr kabisa router lazma iwe x25 au x28 kama wewe huwez ni wewe nasubr wanao weza nasema hvo coz nimeona inawezekana
Ruta huwa ni bure kwa vifurushi vya 110,000 na kuendelea, ukitak kupata bando la elf 70 inabidi ulipie gharama ya router kwa laki 2Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!
Nakushauri kwenye vifaa vya mawasiliano achana na janja janja. Technolojia imekuwa kukupata ni rahisi sana. Achana na vitu vya kufoji au wizi. Fikiri umenunua line ya mtu afu kumbe kuna wizi ulifanyika mahala hiyo device ikaibiwa tena ukute wizi wenyewe ni wakutumia silaha, tena ukute kuna hadi mauaji.Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!
Umejuaje? Hata mm inanipotezea hela zangu balaa, siwezi angalia Netflix tena, browser tu ya Chrome kufunguka ni shida, sijui nini shida.Huko unakoulizia ndio watu wanako kukimbia.
Huyo alikuwa ni mtumiaji wa Halotel kuna kitu kimemkuta na ndio maana anatafuta line ya Airtel yenye access ya 10Mbps
Ebu elezea umeipataje, je nasisi tunajitaka je?ASANTEN WANA JF NIMESHA IPATA HATA IKIFUNGWA SIJALI NTAKUA NIMETUMIA TUMIA HATA MWEZ NIMESHA LIPIA KABISA INASOMA VZR KABISA
Kwa bei gani?nimesha pata lain ya 70k
Huyo jamaa miyeyusho yani utoe 270K halafu uishie kupewa line peke yake?Tanzanite255 kwa harakaharaka ni kwamba haiwezekani kupata line tu bila router.
Huyu agent anazunguka sana lakini uhalisia ndiyo huo. Inavyoonekana ili agent aweze kukuletea huduma ni lazima apewe full package ya router na line yake huko ofisini kwao.
View attachment 3118137
Huyu inaonekana hajajua kona kona nyingi..Huyo jamaa miyeyusho yani utoe 270K halafu uishie kupewa line peke yake?
Line uuziwe 270K, hata line ya uwakala haiuzwi bei ghali kiasi hicho