Jesse008 Senior Member Joined Jul 11, 2019 Posts 137 Reaction score 104 Jul 21, 2019 #1 Friends nimemaliza form six mwaka Jana nilikuw naomba mnisaidie ntaweza kupata. wapi course ya airline management iwe ya online au ya kawaida tu sisomi kwa ajili ya vyeti nasoma kuelew how to run that bzness
Friends nimemaliza form six mwaka Jana nilikuw naomba mnisaidie ntaweza kupata. wapi course ya airline management iwe ya online au ya kawaida tu sisomi kwa ajili ya vyeti nasoma kuelew how to run that bzness
Jesse008 Senior Member Joined Jul 11, 2019 Posts 137 Reaction score 104 Jul 22, 2019 Thread starter #2 Nimeshajarib kwenye IATAA naon cost zake kubwa kwa session na kama kuna mtu anayeza kunisaidia aina za vitabu vyakutumia msaada basi
Nimeshajarib kwenye IATAA naon cost zake kubwa kwa session na kama kuna mtu anayeza kunisaidia aina za vitabu vyakutumia msaada basi