Naweza nikapata kiwanja Kawe kwa Million15?

Hustling

New Member
Dec 13, 2018
2
2,000
Habari Wana JF

Hivi naweza nikapata kiwanja Cha million 15 Kawe? Maana Kinyerezi pamenishinda Bei za viwanja zipo juu mno kule
 

suleym

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,918
2,000
Habari Wana jf,hivi naweza nikapata kiwanja Cha million 15 kawe??? Maana kinyerezi pamenishinda Bei za viwanja zipo juu mno kule

Noma
Sasa km umeshindwa kinyerezi utapaweza kawe? Songea songea huko mpiji magohe Au Bagamoyo
 

wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,020
2,000
Njoo Tabata Kimanga dak 10 toka stend ipo nyumba kabisa ongeza hela kidogo ina msji na umrme
 

Dalalimsomi

Member
Feb 8, 2019
63
250
Ukishindwa nione mkuu njoo kwangu ninavyo madale,mbweni na bunju vizur sanaa karibu sana kwa dalalimsomi au angalia vingne katika instagram page ya @dalalimsomitz
Au simu 0673540985 au 0765532858

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom