Naweza kwenda kubadili pesa za kigeni BOT?

cDNA

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
353
348
Habari zenu wazalendo...
Ninaulizia kama mtu wa kawaida ninaweza kwenda kubadilisha pesa za kigeni BOT maana kuna pesa zingine kwenye Forex Bureau za mitaani rate zake zipo chini ila ktk website ya BOT rate iko juu. Naomba wajuvi wanijuze.
 
Haiwezekani haipo kwa ajiri ya kuhudumia Wateja ile ipo kwa ajiri ya kusimamia monetary policy kwenye nchi
 
Nenda kwenye bank kuchange, lakini kama kiwango ni kikubwa sana. Nenda na documents zinazoonyesha mchakato mzima uliopitia kuzipata hizo pesa.
 
Nenda bureau de change achana na bank huwa wana rate za chini mfano $ kwa bank ni 2060 wakati bureau ni 2273
 
Nenda bureau de change achana na bank huwa wana rate za chini mfano $ kwa bank ni 2060 wakati bureau ni 2273
thanks, nimeshabadilishia Bureau de change....ingawa nimepata hasara kama ya laki 2 na kidogo. Unajua pesa zingine Tz hazina soko, so unazibadili kwa rate ya chini mno tofauti na thamani halisi ya pesa hizo.
 
Nenda kwenye bank kuchange, lakini kama kiwango ni kikubwa sana. Nenda na documents zinazoonyesha mchakato mzima uliopitia kuzipata hizo pesa.
Cku hizi hakuna habari hizo za kiwango cha juu sana cha pesa...hiyo awamu ilishafungwa kwa mbwembwe zote. Hii ni awamu ya HAPA KAZI TU, hakuna mambo ya kuishi kama maRaika.
 
Cku hizi hakuna habari hizo za kiwango cha juu sana cha pesa...hiyo awamu ilishafungwa kwa mbwembwe zote. Hii ni awamu ya HAPA KAZI TU, hakuna mambo ya kuishi kama maRaika.
Ipo mkuu ni juzi tu nilikuwa na meneja mmoja wa bank moja hapa jijini akanithibitishia haya niliyoandika.
 
Back
Top Bottom