MKUU WANGU SAMAHANI MIMI NI MWALIMU NIMEMWELEZA AFISA UTUMISHI WANGU AMEKATAA KASEMA KULINGANA NA MIUNDO SINA SIFA YA KUWA AFISA MAENDELEO YA JAMIItayari kwenye elimu yako kuna maendeleo ya jamii bado unaulizia, ni akili kweli au unatuchosha ?
maafisa utumishi wengi ni kama wanga tu rohoo mbaya sana. alafu wanawaona waalimu kama sijui nn yaani wanadharau sana.MKUU WANGU SAMAHANI MIMI NI MWALIMU NIMEMWELEZA AFISA UTUMISHI WANGU AMEKATAA KASEMA KULINGANA NA MIUNDO SINA SIFA YA KUWA AFISA MAENDELEO YA JAMII
We si google helper sasa si umjibu mwenzio vzrtayari kwenye elimu yako kuna maendeleo ya jamii bado unaulizia, ni akili kweli au unatuchosha ?
Pole mkuu ngoja ma hr waje wakusaidie kama inawezekanaWAKUUU KIUKWELI NIMESOMA BACHELOR DEGREE IN ADULT EDUCATION AND COMMUNITY DEVELOPMENT AFISA UTUMISHI KANINYIMA HAKI YA KUHAMIA MAENDELEO YA JAMIII KUWA SINA SIFA
We si google helper sasa si umjibu mwenzio vzr
Sawa lakini usiwe unachoka,google haichokagihahaha tayari nimeshampa majibu hili lilikuwa jibu la kukazia mada tu
Wakuuu habari zenu,Mimi nimesoma shahada ya Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii je wakuuu naweza kuwa afisa maendeleo ya jamiiiiii
Naombeni msaada wenu wa mawazo ndugu zangu
umechanganya kati ya maendeleo ya jamii (community development) na ustawi wa jamii (social work/ welfare) hata serikali yenyewe inachanganya. nishie hapa nisianzishe kitu kipya.Afisa utumishi yupo sahihi kabisa, kwa jibu alilokupa.
Maana ni kweli kwa serikalini, wewe unahesabika ni MWALIMU tu. Serikalini wanazingatia miundo husika ya ustawi wa jamii 90℅. Sasa kwa bahati mbaya sana, kwa 60% miundo hiyo, haipo kwenye hiko ulichokisomea. Kwa kifupi, endapo ukawekwa kwenye maendeleo ya jamii, ni lazima upwaye kidogo...kitu ambacho hakuna mwajiri anayekipenda kukiona, unless umuonge au akubebe tu kiundugu undugu.
Note:
Kwa mashirika binafsi, unaweza kupewa nafasi ya kutumikia ndani ya ustawi wa jamii sect/dep. Kwa sababu karibia 70% ya mashirika hayo, especially haya local... huwa hayana utaratibu wa kuzingatia, miundo yote ya ustawi wa jamii.
Kila la kheri boss wangu.
Hana sifa, wala hajanyimwa haki na Afisa utumishi bali muundo wa maafisa maendeleo ya jamii ndio unaomtema.Pole mkuu ngoja ma hr waje wakusaidie kama inawezekana
Mkuu huo ni muundo wa taasisi za kielimu hakuna nafasi ya kuwa afisa maendeleo kwa huko.MKUU WANGU SAMAHANI MIMI NI MWALIMU NIMEMWELEZA AFISA UTUMISHI WANGU AMEKATAA KASEMA KULINGANA NA MIUNDO SINA SIFA YA KUWA AFISA MAENDELEO YA JAMII
Haya endelea kubisha vitu usivyovijua,wewe ushawahi kukisoma hicho kitabu cha miundo ya utumishi ukaona hiyo taaluma yako ipo miongoni mwa taaluma zinazohitajika ili mtu awe CDO?MKUU UNATAKIWA KUTAMBUA KWENYE KOZI KUNA MAENDELEO YA JAMII NIISHIE HAPO
Mkuuuuu swala sio nafasi anachodai kwa shahada yangu ya Bachelor degree in Adult education and Community development sina sifa ya kuwa afisa maendeleo ya jamiii kulingana na majibu ya afisa utumishiMkuu huo ni muundo wa taasisi za kielimu hakuna nafasi ya kuwa afisa maendeleo kwa huko.
Subir nafasi zikitoka uombe
Mkuuu iwaje kuna mtu was sifa kama zangu alipewa mwaka Jana ana diploma nikamuuliza hilo akadai kuwa utumishi kwa sasa wako strect sasa jamani muundo uliotumika mwaka Jana na mwaka huu ni tofauti Kaka hapa kuna kitu .let's go beyond the boxHaya endelea kubisha vitu usivyovijua,wewe ushawahi kukisoma hicho kitabu cha miundo ya utumishi ukaona hiyo taaluma yako ipo miongoni mwa taaluma zinazohitajika ili mtu awe CDO?
HRO wako hana kosa,he is very right!
Mkuu kuna watu wamejitahidi kukuelewesha lakini hutaki kukubaliana naoMkuuu iwaje kuna mtu was sifa kama zangu alipewa mwaka Jana ana diploma nikamuuliza hilo akadai kuwa utumishi kwa sasa wako strect sasa jamani muundo uliotumika mwaka Jana na mwaka huu ni tofauti Kaka hapa kuna kitu .let's go beyond the box
Mkuu fact ulizoeleza na ndicho nilichomueleza Afisa utumishi wangu iwaje mtu wa sifa kama zangu tena ana stashahada amebadilishiwa muundo mwaka Jana Mimi nimeomba kubadilisha mwaka huu aseme sasa hv utumishi wako strect kiukweli Mimi nimeshindwa kumuelewa naomba ushauri wako nimchukulie hatua ganiMkuu kuna watu wamejitahidi kukuelewesha lakini hutaki kukubaliana nao
Tafuta huo muundo wa M/Jamii uangalie sifa zinazohitajika...je unazo??
Kama huyo mtu alipewa kiuhalali basi mwambie akupe huo muundo uliomwezesha yeye kuajiriwa