mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 972
- 1,670
Nielekeze Sasa namna ya kufanyaTv zinaweza kuonyesha ila channel itakuwa ni moja, yaani ukibadili channel kwenye decoda na kwenye Tv zote Inabadilika
Unamaanisha ntakuwa nalipia vifurushi katika ving'amzi viwiliTafuta lnb ya njia 2 au 4 ila itabidi ununue na decorder nyingine
Ukitumia decorder hiyo tv zote zitaonesha channel hiyo hiyo
Nielekeze kwa faida ya wote,tunabebana tu jamaa yangu.una sh ngapi nikufanyie kazi yako mkuu, inawezekana kwa 100%
Ndio inawezekana..mimi ninaking'amuzi cha Azam na dishi lake..sasa dishi liliyumba kama mara mbili ivi fundi akanambia ili nisahau maswala yakuyumba yumba nitafute kadish kastar times hako ukiweka umeweka japo toka anirekebishie kwamara yamwisho halijayumba tena konami nikapotezea kutafuta tena dish la startimesVipi inawezekana kutumia dish LA startimes kwenye king'amuzi cha azam?
Asante sana kakaNdio inawezekana..mimi ninaking'amuzi cha Azam na dishi lake..sasa dishi liliyumba kama mara mbili ivi fundi akanambia ili nisahau maswala yakuyumba yumba nitafute kadish kastar times hako ukiweka umeweka japo toka anirekebishie kwamara yamwisho halijayumba tena konami nikapotezea kutafuta tena dish la startimes
Shukrani mkuuInawezekana mkuu
Hakuna kinachoongeza hapo?Asante sana kaka
Kutumia dishi 1 na kingamuzi kimoja kwa TV 2 tofauti, basi unahitaji kutumia output tofauti kwa kila tv kutoka kwenye kingamuzi. Kwa mfano: utatumia HDMI kwaajili ya TV ya kwanza halafu utatumia AV kwaajili ya TV ya pili . Lakini mtakuwa mnaangalia chaneli moja wote kwa wakati mmoja.Habari wapendwa,
Napenda kujua namna ya kutumia dishi na king'amuzi kimoja ili kisambaze channel katika tv tofauti.
Nataka kila chumba kiweze kupata channel lakini ninadish moja.
Kwa anayefahamu naomba anielekeze namna ya kufanya hatua kwa hatua.
Asante I.
Kwa hiyo ving'amzi vyote vitalipiwa?Kutumia dishi 1 na kingamuzi kimoja kwa TV 2 tofauti, basi unahitaji kutumia output tofauti kwa kila tv kutoka kwenye kingamuzi. Kwa mfano: utatumia HDMI kwaajili ya TV ya kwanza halafu utatumia AV kwaajili ya TV ya pili . Lakini mtakuwa mnaangalia chaneli moja wote kwa wakati mmoja.
Kutumia DISHI 1 na Dikoda 2 kwa TV 2,
Ukitumia T-connector /splitter mtakuwa pia mnaangalia channel moja kwa wakati mmoja kwasababu LNBF ni moja.
Kutumia DISHI 1 na Dikoda 2 kwa TV 2,
Ukitumia TWIN LNBF, kila mmoja atakuwa anatumia TV kwa uhuru wake, Kila mtu anaweza kuangalia channel anayotaka wakati wowote. Hii ni sawa na kila mtu kuwa na dish lake.
Wataalamu watakupa mbinu zingine....
Haha hahahhaKipindi hiki cha uchaguzi hilo hlitawezekana
Mbona anafanya hata mwenyewe muelekeze tu humuuna sh ngapi nikufanyie kazi yako mkuu, inawezekana kwa 100%