Thomas Paul
Member
- Jan 8, 2018
- 20
- 3
wana jf kuna uwezekano wa kusoma ict ukiwa ume soma arts
Yapwana jf kuna uwezekano wa kusoma ict ukiwa ume soma arts
kama hesabu ilikuwa ina zingua kidog
Unasoma kwa mfano✓bachelor of science in ICT& mediated content iko (UDOM).wana jf kuna uwezekano wa kusoma ict ukiwa ume soma arts
sawa. unaeza pata kazi kwenye makampun ya simu ukiwa na diplomaUnasoma kwa mfano✓bachelor of science in ICT& mediated content iko (UDOM).
Ndio unapata vizur tusawa. unaeza pata kazi kwenye makampun ya simu ukiwa na diploma
Unapata,but uwe competent.sawa. unaeza pata kazi kwenye makampun ya simu ukiwa na diploma
Je mtu aliye soma it anapata kazi kwenye makapuni ya simu?Ndio unapata vizur tu
Makampun yoyote ya cm mkuu Wanapata.Je mtu aliye soma it anapata kazi kwenye makapuni ya simu?