Naweza kusoma chuo kikuu kwa ufaulu huu

Naweza kusoma chuo kikuu kwa ufaulu huu

Cpdangote13

New Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
1
Reaction score
2
Hello

Msaada niko EGM nimepata div II pont 12 lakini nina E ya A/math, C ya geo na D ya economic
Kwa O-level nina sina F kwa somo lolote nilikuwa sayansi
Eti pale Ardhi University naweza kusoma artchitecture
Au course gani nzuri nyingine yenye ajira nisome
 
usifosi mambo
 
Kama sio ushindani basi sifa za kusoma architecture unazo bila shaka.

Angalia na kozi ya quantity surveying and construction economics na URP pia.
Good luck.
 
Hello

Msaada niko EGM nimepata div II pont 12 lakini nina E ya A/math, C ya geo na D ya economic
Kwa O-level nina sina F kwa somo lolote nilikuwa sayansi
Eti pale Ardhi University naweza kusoma artchitecture
Au course gani nzuri nyingine yenye ajira nisome
Mdogo wangu nenda BAF kidogo utapaweza
 
Building Economics, bsc Accounting and finance, LMV, URP, Arts in Economics na nyingine kibao. Chuo kizuri lkn utajuta.
 
Hello

Msaada niko EGM nimepata div II pont 12 lakini nina E ya A/math, C ya geo na D ya economic
Kwa O-level nina sina F kwa somo lolote nilikuwa sayansi
Eti pale Ardhi University naweza kusoma artchitecture
Au course gani nzuri nyingine yenye ajira nisome
Ardhi huwezi, ufaulu mdogo. Labda MUST
 
Hello

Msaada niko EGM nimepata div II pont 12 lakini nina E ya A/math, C ya geo na D ya economic
Kwa O-level nina sina F kwa somo lolote nilikuwa sayansi
Eti pale Ardhi University naweza kusoma artchitecture
Au course gani nzuri nyingine yenye ajira nisome
Hakuna kozi yenye ajira, soma kile ukipendacho ndio ajira yenyewe.
 
Hello

Msaada niko EGM nimepata div II pont 12 lakini nina E ya A/math, C ya geo na D ya economic
Kwa O-level nina sina F kwa somo lolote nilikuwa sayansi
Eti pale Ardhi University naweza kusoma artchitecture
Au course gani nzuri nyingine yenye ajira nisome

O level Nina sina F
 
Back
Top Bottom