Hapo tumia simu nyingine kujiunga kisha weka APN then fungua net kunakuwa na aina 3 za iPad yaan WIFI, GSM, CELLULAR wifi kama unavojua haina sehemu ya kuweka line wala haina IMEI kwenye back cover.
Pia GSM ni ipad inayoingiza line ila uwezi kupiga na ina IMEI kwenye back cover ila CELLULAR inasehemu ya kuweka line na inasehemu ya kupiga na ina IMEI kwenye back cover.