Mgonjwa yupo nyumbani anatibiwa kienyeji halafu unataka morden medical report? Kweli? Naomba mpeleke mgonjwa hospital hapo utapata medical report bila hata usumbufu wowowte
It sound serious.
Lakini hiyo medical report ya connection inaweza kuwa na impact.
Impact kubwa zaidi unakuja afisa mwajiri wako na yeye kasoma uzi wako.