Naweza kupata wapi trekta kwa mikopo?

onjwayo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
1,346
1,303
Niko Rorya na shida kubwa huku Ni mabadilko ya Hali ya hewa. Huku tumezoea kilimo Cha kutegemea mvua. Nyenzo pekee tunayotegemea Ni kutumia ng'ombe ambao kwa nyakati za kiangazi wanaathiriwa na ukame.

Kama ni shida ni zaidi ya janga. Kwa kifupi ni hiviii, mvua zikipungua ardhi ni ngumu kweli kwa ng'ombe kuvuta plau na mvua zikinyesha ardhi Ni nzito mno.

Yeyote mwenye dokezo namna gani naweza kufanya nikapata trekta kwa mikopo namkaribisha inbox. Mie Ni mkulima wa kawaida tu Ila naweza kupanuka Kama nikipata nyenzo.
 
Mkuu nikupe angalizo katika utafutaji wako
angalia usije ukapewe URSUS huu ni ugonjwa wa moyo kaa mbali nao.

#Utafutaji Mwema na wenye mafanikio.
 
Mchicha ule breakdown kila saa mixsa kuvunjika kifua kila Siku mara water pump yaani utulizi kichwa utasikia janga yani NDC walikula bingo Lao wakatuingiza cha kike raia alafu saivi ni full usumbufu tunaletewa hadi takukuru
Duuh poleni sana.
 
Asee pole sana
 
Waone TADB (Benki ya kilimo). Wana ofisi Mwanza pia

Down payment yao ni 25% ya gharama za tractor.

*Muda wa kulipa mkopo ni miaka 3 hadi 5.

*Riba ni 8%-13%.

Wanafanya kazi kwa kushirikiana na Matrekta ya John Deere

Hawa Efta sio wazuri kwa mkulima mdogo maana kilichonishinda kwao ni kuwa

*Muda wa kulipa mkopo ni 2 years only.

*Down payment ni 40% ya tractor
 
Back
Top Bottom