The Certified
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 910
- 774
Jamani wanateknolojia habari za Asubuhi naomba kujua naweza pata Wapi Drone nzuri waterploof na ikae na chaji atleast masaa 3 na iwe na HD haswa kupiga picha za Usiku.......
Gadgetronix ltd. Google utawapata aidha dar au ArushaJamani wanateknolojia habari za Asubuhi naomba kujua naweza pata Wapi Drone nzuri waterploof na ikae na chaji atleast masaa 3 na iwe na HD haswa kupiga picha za Usiku.......
Kumbe Ni dakika tu?Duh! Masaa matatu! Sidhani, labda dakika 25
asante kwa ushauri mkuu asante sana na labda una hisi kwa nn ilipasuka?na bila kusahau jua soma manual vizuri kabla ya kuirusha drone yako.....kuna jamaa yangu aliagiza drone ikapasuka siku hiyo hiyo mana hata hakusoma manual
asanteGadgetronix ltd. Google utawapata aidha dar au Arusha
Nifanyie hivyo mkuu PM now..Naweza kukupa contact zake pm ukihitaji
hahahahaha hahahahaha hahahahaha hata mimi ishanitokea nilikodi ikapotea nilitafta nikaikuta juu ya hotel moja ya huku mwanza ila haikuwa na hali nzuriKuna jamaa yangu alinunua moja so cheap toka ile app ya wachina ya manunuzi 84,000 tu.
aliitumia week mbili siku moja ilipopaa hakuiona tena ilikata mawasiliano nikajua ching chu keshafanya yake fake fake
So ukalipishwa mkuu?hahahahaha hahahahaha hahahahaha hata mimi ishanitokea nilikodi ikapotea nilitafta nikaikuta juu ya hotel moja ya huku mwanza ila haikuwa na hali nzuri
Yap mkuu suna jua mtu katoa kahela kake kàa madafu alafu umpe samahani hautaelewana naeSo ukalipishwa mkuu?
Khaa mzee ulitafuta mpaka juu ya hotelhahahahaha hahahahaha hahahahaha hata mimi ishanitokea nilikodi ikapotea nilitafta nikaikuta juu ya hotel moja ya huku mwanza ila haikuwa na hali nzuri

Nilianza kupreview video iliyo record maeneo ilipokatia netwk napajua ikabidi nipande mzee yani ilikuwa nyang'a nyang'a hahahahaha hela ya watu lazima nitafte hata kambi ya jeshi mkuuKhaa mzee ulitafuta mpaka juu ya hotel![]()
![]()