Naweza kupata samsung s3 used

Naweza kupata samsung s3 used

sio rahisi kaka being za mkononi ni 400k mpaka 450k MTU akiuza hivyo inaweza kuwa na matatizo
 
sio rahisi kaka being za mkononi ni 400k mpaka 450k MTU akiuza hivyo inaweza kuwa na matatizo

Mkuu naomba uniambie bei ya hii sony experia st 23i ikiwa mpya?
 

Attachments

  • 1392564993284.jpg
    1392564993284.jpg
    52.9 KB · Views: 111
450k inbox me nikuuzie nnayo tumia now... 4 month used! Original haina tatizo hata moja..
 
Back
Top Bottom