Naweza kupata printer kwa Tsh 90,000/=?

Naweza kupata printer kwa Tsh 90,000/=?

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
Mwaka jana nilisikia wanazitangaza sa sijui kama bado zipo? haijalishi ni dot matrix, lazer au bable jet, ila iwe nauwezo wa kutoa copy pia (photocopying).

Naombeni msaada wenu, mimi sio mtaalamu sana wa mambo hayo kwaiyo tusamehane kama kuna sehemu sijaeleweka. Napatikana posho town, idodomya
 
I think unaweza hapo mitaa ya Kariakoo lakini kama ungeongeza price kidogo kama 100-150k ungepata nzuri zaidi ubaya wa hizi mashine hizi,ukipata ya bei kubwa ndo inakuwa na maintanance cost ndogo ukilinganisha na hizi za bei ndogo mkuu.
 
mi nilinunua 80,000 3 in 1 hp scan, photocopy na printing (a4) sema ni kwa ajili ya home use. ukiiona tu build quality sio nzuri. kama unataka kufanyia biashara haitakufaa. bahati mbaya imeshauzwa hivyo jina lake exactly silikumbuki ila ina muonekano kama huu

31KYF8lRtoL._SL500_AA300_.jpg
 
90 hyo ni kwa ajiri ya matumizi ya nyumbani na sio biashara
 
Unaweza kupata ila printer zimepanda bei kwa sasa. hakikisha tu unapata ile yakuwa una-refill wino na siyo ulazimike kununua cartridge box mpya kila mara
 
Chief-Mkwawa,

Asante mkuu. Nataka kwa matumizi madogo ya nyumbani sio biashara. Ukiwa na taarifa zaidi ya exactly aina yake nisaidie mkuu
 
Last edited by a moderator:
unaweza kupata ila printer zimepanda bei kwa sasa. Hakikisha tu unapata ile yakuwa una-refill wino na siyo ulazimike kununua cartridge box mpya kila mara

asante, ukinifahamisha aina gani nzuri utanisaidia sana
 
Kitu muhimu ni kujua unataka kuitumia kwa matuzi gani?? Then bei
 
Mwaka jana nilisikia wanazitangaza sa sijui kama bado zipo? haijalishi ni dot matrix, lazer au bable jet, ila iwe nauwezo wa kutoa copy pia (photocopying).

Naombeni msaada wenu, mimi sio mtaalamu sana wa mambo hayo kwaiyo tusamehane kama kuna sehemu sijaeleweka. Napatikana posho town, idodomya

mkuu unaweza kupata HP ina print black na coloured inatoa copy na pia ina scan. Kama uko tayari ipo mkuu ila ni mwanza
 
Hata kama ni matumizi ya nyumbani inategemea ni kazi ipi.
Kama unaprint na kutoa copy nyingi mfano 100 copies kwa mwezi printer hiyo ndogo itakusumbua, hasa kwenye manunuzi ya catridge.

Kwa copy nyingi nunua epson printer yenye mitungi ya wino. Wino unakaa muda mrefu na pia ni rahisi kuongeza wino huhitaji kununua catridge.
 
asante mkuu, kama kunauwezakano tunaweza wasiliana ukanitumia maana kwasasa siwezi kuja mwanza na watu wa magari sifahamiani nao
 
Hata kama ni matumizi ya nyumbani inategemea ni kazi ipi.
Kama unaprint na kutoa copy nyingi mfano 100 copies kwa mwezi printer hiyo ndogo itakusumbua, hasa kwenye manunuzi ya catridge.

Kwa copy nyingi nunua epson printer yenye mitungi ya wino. Wino unakaa muda mrefu na pia ni rahisi kuongeza wino huhitaji kununua catridge.

asante mkuu kwa ushauri
 
Kitu muhimu ni kujua unataka kuitumia kwa matuzi gani?? Then bei

matumizi madogo ya nyumbani kama print taarifa nazozipenda toka kwenye mtandao, jamiiforums, na kuprint mambo yangu in case kama na presentation kanisani hata shuleni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom