Naweza kupata notification mtu mwingine akipigiwa?

Naweza kupata notification mtu mwingine akipigiwa?

We kama ni mwanaume application inayokufaa ni kutafuta hela ya kutosha nakuhakikishia hutakuwa na wasiwasi hata kidogo, kama ni mwanamke app ya mahabati inatosha kabisa
 
Nataka kujua namna ya kuunganisha namba ya mtu ukawa unapata notfication wakati anapigiwa na mtu mwingine! Ebu mwenye kujua anambie unaiconect vip.
"AHSANTENI"

Utatumalizia dawa za kutibu BP!
 
Back
Top Bottom