Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,883
Habari jf
Nina mdogo wangu, amepatwa na matatizo ya kiuchumi na familia, hali iliopelekea kusimamisha masomo kwa muhula mmoja.
Swali langu je akitoa taarifa kamili kwa loan officer ataweza kupata mkopo mwaka wa tatu??
Ikiumbukwe alipostpone akiww mwaka wa pili.