Naweza kupata bumper hili la Alteza?

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
10,344
14,120
WAKUU KUNA GARI ALTEZA BUMPER LAKE LA MBELE LIMEHARIBIKA LIMEBONDEKA KWA YEYOTE ANAYEJUA BEI YA ILO BUMPER AU ANAJUA JINSI UPATIKANAJI WAKE KWA WEPESI ZAIDI NAOMBA UWEKE CONTACT YAKO TUWAZIRIANE TUFANYE BIASHARA.
 

Attachments

  • 16507510_751457048338177_2011874521_n.jpg
    16507510_751457048338177_2011874521_n.jpg
    53.8 KB · Views: 84
  • 16521566_751457245004824_623502666_n.jpg
    16521566_751457245004824_623502666_n.jpg
    54.6 KB · Views: 84
  • 16558330_751457345004814_389613226_n (1).jpg
    16558330_751457345004814_389613226_n (1).jpg
    46.2 KB · Views: 82
  • 16558330_751457345004814_389613226_n.jpg
    16558330_751457345004814_389613226_n.jpg
    46.2 KB · Views: 112
Alteza ni gari za wahuni lazma nawe utakuwa miongoni mwao,Gari hadi inafugwa waya? Any way bumper zipo nying tu sema upo mkoa gan
 
Mkuu, hilo bumper la sporty haliendani na bara bara zetu, na ndio maana limechanika kwa sababu gari ikiingia kwenye mashimo linagusa chini. Kama unakaa Sitimbi, weka tu lile la kawaida ili usiumize roho yako...
 
Mkuu, hilo bumper la sporty haliendani na bara bara zetu, na ndio maana limechanika kwa sababu gari ikiingia kwenye mashimo linagusa chini. Kama unakaa Sitimbi, weka tu lile la kawaida ili usiumize roho yako...
asante kwa ushauri mkuu
 
mkuu nenda njia ya tandale /sinza uzuri utapata andaa 150,000 ila ukiwa mjanja weka lile la kawaida.Pili ukikosa nenda africa sana nyuma ya soko kuna wachina pale
 
Back
Top Bottom