Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,439
- 3,954
mdalasini changanya na asali, tafuna punje 6 za vitunguu swaumu usiku na mchana ule ndizi mbivu kama 4 hivi mchana na jioni chukua kitambaa cha cotton, weka maji ya moto isiwe sana iwe kiasi ...loweka kitambaa vuta uume kwa mbele fanaya zoezi hilo na badae weka mdalasini na sali kwenye maji ya chai au ya moto unywe kikombe kimoja kadri itakavyokuwa inasimama itahitaji kukua kwa haraka sana>>>Urefu 5.5 inches mzunguko 4.5inches.
Naombeni njia ya kuongeza plz ambayo haina madhara na inamabadiliko chanya.
Natanguliza shukran zangu


exactly mkuuu