Naweza kuongeza ukubwa wa uume?

Naweza kuongeza ukubwa wa uume?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,486
Reaction score
3,567
Urefu 5.5 inches mzunguko 4.5inches.

Naombeni njia ya kuongeza plz ambayo haina madhara na inamabadiliko chanya.
Natanguliza shukran zangu
 
Pitia pitia nyuzi utaona hao waganga wakijinadi
 
Ridhika na ulichonacho amini katika ulichonacho hukukosewa kuumbwa hivyo
 
Urefu 5.5 inches mzunguko 4.5inches.

Naombeni njia ya kuongeza plz ambayo haina madhara na inamabadiliko chanya.
Natanguliza shukran zangu
Ridhika na ulichopewa kk,Mungu ndiye mjuzi zaidi, ukijifanya mjuzi zaidi kuliko Mungu utajutia baada ya kupata madhara
 
Huwa napata muamko mkubwa sana pale ninapoona mlemavu akipiga hatua za kimaendeleo na wakati mwingine kuutumia ulemavu wake kama mtaji ktk kufanya mambo makubwa.

Kiwe kibamia au muhogo we jua kina matumizi na umuhimu wake.

Muhogo huenda usiwafae wote bali kibamia kwa asilimia kubwa kinawafaa wote....matumizi tu na kufungua akili na mtazamo wako.
 
Unaepeleka wapi ukiongeza unaipeleke wapi sasa
 
Urefu 5.5 inches mzunguko 4.5inches.

Naombeni njia ya kuongeza plz ambayo haina madhara na inamabadiliko chanya.
Natanguliza shukran zangu

Kama una kiba100 pole sana aisee.
 
Mh.....lakini si ameomba ushauri!! Kama haiwezekani mwambieni...sio kila mtu anakomaa Kusema ridhika na ulichonacho ...mbona yule aliesema mmewake anakibamia mmempa ushauri waziwazi!!!
 
Urefu 5.5 inches mzunguko 4.5inches.

Naombeni njia ya kuongeza plz ambayo haina madhara na inamabadiliko chanya.
Natanguliza shukran zangu
Acha ushamba ndugh yangu yaani mpaka mpka hapo unaonekana hujiamni wewe mwenyew kiukweli mwanamke hategemei kuridhishwa na kuna na mkunyenge mkubwa sana wala mrefu sana hizo habar zako tulikalilishwa tu na waganga wa kienyeji ili wapige pesa zetu eti wqnaongeza ukubwa hiyo hiyo unaoona ni. Ndogo ukijua tu kuitumia unamfikisha kiulaini mwanamke acha kuwa na fikira potofu kuwa una kiba100
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom