UZZIMMA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 414
- 483
Kuna ndugu yangu amesajili masomo saba katika CSEE 2016, na hakuweka English. Lengo awe Dokta kwa kuwa miongoni mwa masomo yake anayorisiti ipo Phy, Chem, Math na Biol.
Je naweza kubadili usaji kwa kuongeza English kwa sasa? Japo muda wa marekebisho umeisha?
NB. Naomba nijibiwe kama nilivyouliza tafadhali!
Je naweza kubadili usaji kwa kuongeza English kwa sasa? Japo muda wa marekebisho umeisha?
NB. Naomba nijibiwe kama nilivyouliza tafadhali!