Naweza kumuoa huyu?


mkuu hakuna wife material ila kuna kichaa material..
 
dah! Unanisikitisha sana mkuu!
Hivi ni nini hasa kimekukumba?
Yaan mke wa mtu tena aliyekusaliti anakuendesha hivyo?

Unatudhalilisha wanaume wenzako mkuu


Baba hapa kidogo umeongea...sio kuropokaropoka na kudhalilisha watu ndio maana watu wanaogopa kuposti mambo yanayowakabili
 
Huyo demu ameshakufanya ndondocha ww...mwanamke ushaweka msimamo wa kumtakia maisha mema na mumewe..leo hii unamkaribisha geto kwako..kwanza alipajuaje kma hukumuelekeza mwenyewe??
 
Huyo demu ameshakufanya ndondocha ww...mwanamke ushaweka msimamo wa kumtakia maisha mema na mumewe..leo hii unamkaribisha geto kwako..kwanza alipajuaje kma hukumuelekeza mwenyewe??

bro alikuwa anapajua kabla hata ya kuolewa niliwah kuishi nae kipind flani... yeye hakuwah kuniambia hivo bali mim ndio nilimwambia...
kumbuka nimembikir ndio maana ananisumbua vile... ila saiv nimeamua kuacha hii mambo
 
Mapenzi mnayaanza utotoni mno!

Niko kwenye game tangu 2002 asee kwa ivo cna udogo ijapokuwa yeye ndio mdogo wa 1992 si mdogo huyo... so ilikuwa tu hasira ya kunyanganywa
 
Niko kwenye game tangu 2002 asee kwa ivo cna udogo ijapokuwa yeye ndio mdogo wa 1992 si mdogo huyo... so ilikuwa tu hasira ya kunyanganywa

Unaongelea kunyang'anywa?! Siku hizi kawaida tu kupigiwa. Ila wewe ndo unataka kumpigia mtu, kumbuka chamtu mavi.
 
sidhani kwahatua zote mwanamke alizo pitia mwenye akili timamu anaweza hata kukaa nae get co Burr naona dalili za MTU kushikwa masikio
 

POLE SANA... I understand how it feels bro.... Nimependa kitu kumoja toka kwako... You are so real. Story nzima inajieleza wazi kabisa kuwa ww ni mtu wa aina gani... LOVE is a precious thing.. Its a gift. Am telling you, not everybody knows how to handle it... Hata humu kwa wengi unaonekana mjinga kwa sababu ya Ku miss understand the whole subject of Love there fore to them you are also not understood.... Lkn ukweli ishu iko sensitive na inahitaji ushauri wake uwe waangalizo sana ili usije kuwa confused zaidi au kuumia zaidi... Ila naamini kidogo kidogo kwa kupitia michango ya wanajukwaa, utapata kitu kitakachokufaa... Na ukweli ni kwamba unachopaswa kufanya ktk hili jambo kipo wazi kabisa, lkn kwa sababu you are dealing with the state of the heart, ndio maana inahitajika umakini sana, just take it slowly utafikia maamuzi sahihi tu.. ALL THE BEST!
 

so much class in your opinion... thank you so much bro...
 

Uko vizuri sana kaka..

Ni watu wachache sana wenye uelewa na mtazamo wa kuchanganua mambo kama Wewe hapa JF now days.. I appreciate that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…