bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
Habari wana MMU
Kwanza naomba mnivumilie kwa maelezo marefu.
Anaitwa Romana ndio ninayemuongelea nimekaa naye kwenye mahusiano tangu akiwa form one mim nikiwa form six by then...2009. Tulikuwa tunapendana sana tena sana... japokuwa alipofika 2011 akawa kama amebadilika kipindi hicho mim nilikuwa Chuo DSM yeye yupo Form three MWANZA huko.
Taarifa hizo nilikuwa napewa na rafiki yake kwamba siku hizi anatembea na wanaume wengine japo anasema bado ananipenda. mim nikawa nimechukulia ujana unamsumbua nikamvumilia. sasa huyo rafk yake akawa kila muda anatoa hizo taarifa baadae nikamwambia huyo Romana akakana tena nilivomwambia nineambiwa na rafk yake alitaka hadi kujiua kwa kusingiziwa nakumbuka alikaa wik 2 bila kwenda shule had nikawa naogopa. Bas tuliyaongea yakaisha.
Bahati nzur au mbaya alivomaliza form four alikuja huku DSM kwa mjomba wake kwa hiyo akawa anakuja geto nakumbuka kimbindi hicho nilikuwa nakaa Riverside yeye Majumba Sita (kwa mjomba wake) hiyo ilikuwa 2013. kipindi hicho mim nilikuwa mwaka wa nne chuo. Basi saa zingine alikuwa anakuja tunakaa nae getto kwa siku hata mbili au tatu mfululizo yaan anakuwa amedanganya kwa mjomba ake kwamba anaenda kwa shangaz yake mbez.
Baadae matokeo yao yalitoka akawa kapata IV kwa hiyo hakufanikiwa kuendelea akawa kataftiwa chuo akawa anasoma certificate... katika kusoma huko akawa kapata bwana bhana... mim nikawa nashangaa mawasiliano yamepungua nikijua labda mwenzangu kawa busy na masomo.kwa hiyo sikujal sana... bas nilikuwa nafanya final project ikabid nijikip busy as well.
Baada ya kumaliza chuo nikamuita akaja nikamuulza kwa nn amepunguza nawasiliano akadai mim ndio chanzo kwa kuwa simtafti bas tukayaongea yakaisha... mim nikawa nimemuaga kwamba narud Mwanza kwanza then nitakuja DSM kutafta kazi.
Ilikuwa mwez wa 9, 2013 nilirud DSM kabla sijarud namba yake ikawa haipatikani nikawa naitafta bila mafanikio... nilivofka DSM nikaenda kwa mjomba wake, lkn sikumkuta nikamkuta rafk yake ambaye alinieleza kuwa Romana keshaolewa... yaan niliishiwa hadi nguvu... basi nikawa natafta namba yake bila mafanikio ili nijue sababu za kuniacha... baade nikasikia yupo Mwanza kwao na ana ujauzito.. hiyo ilikuwa 2014 sikutaka kuamini ila huo ndio Ukwel. bas nikawa nimekata tamaa na Romana.
Siku moja nikakutana naye mnaz mmoja hospital akiwa anakaribia kujifungua, nilimuulza ilikuwaje akasema shetani, nikamuulza kwa iyo ushaolewa akadai anakaa naye tu lkn hajajitambulisha kwao basi nikamtakia maisha mema. huku roho ikiwa inaniuma kwa kuwa nampenda.
Bas ikawa hivo sasa cha kushangaza alikuja siku moja akanipigia simu ya kukir kwamba alifanya makosa na akawa anasema mimsamehe, nikamwambia nishasamehe, akadai eti anaishi na mwanaume ambaye hampendi na hawez kuishi na wakati upendo wake uko kwangu eti nimsamehetu turudiane anajuta kwa nin alifanya hivyo.. nahiyo ilikuwa baada ya kusikia kuwa nimeajiriwa... mim nikamwambia kwa kwel aendelee tu na mumewe, bas akawa ananisumbua hivo hivo mim baadae nikahamishwa kikaz nikaenda Dodoma, akaendelea kunisumbua bas nikamwambia sawa, mwez uliopita nimerudishwa hapa DSM tena sasa ndio imekuwa taabu zaidi.
Tangu nirudi amekuwa akitoka kwa bwana yake anakuja kwangu sasa kwa kwel mim nimeshaanza kuogopa... dhumuni lake aivunje ndoa yake ati mim nimuoe, sasa nafikiria kama vile nimejifunga mim mwenyew kumpenda sawa nampenda lkn itakuwaje? Nitaweza kumuoa kwel mtu wa namna hii, na mpaka sasa imefkia hatua anashindwa kukaa kwake eti kisa mumewe hajajitambulisha kwao jaman is it fair? halafu mbona siku hizi nikimuona yaan anachoongea nakubaliana naye kulikoni? nahitaj ushaur kabla sijafanya uamzi wa kijinga.. nampenda sawa lkn ana mtt wa mtu nabado anaishi na huyo mtu japo hajajitambulsha..
Kingine mama yake hataki atoke kwa bwana yake huyo... hajajitakbulisha sawa lakin wazaz wanajua anaishi na bwana kiukwel huwa nataka ninwambie aendelee kuishi naye mume wake nashindwa kwa kuwa nampenda... lkn naona siwez kumuoa sa itakuwaje..? nitatembea na mke wa mtu mpaka lini? nifanyeje nimuache mbona nakuwa sina maamuz juu yake???
naombeni ushaur wenu