Naweza kumpata mpenzi wa kweli kwenye mitandao?

Naweza kumpata mpenzi wa kweli kwenye mitandao?

Kama wewe haufai basi uwezi kumpata...!
 
kwenye mitandadao huwezi kupata mke maana wameshatumika sana pia huko mtaani hawana soko,, mie nilipata kama sita hiv ila baada ya kuwafatilia huko nyuma kumbe walikuwaga makahaba sasa wamechoka wanataka ndoa,,, tena watatu wakawa wanataka mimba tu niwape basi na siyovkuolewa,, Tafuta mtaani kwako huko huko ila kwnye mitandao hamna kuna screpa tu
 
Ukimuwezesha kwa vi mpesa airtel money utampata tuu, lakini sikushauri umtafute
 
Me naimani kua UNAWEZA, kwani mke/mume ni Mungu ndio anakupa na huwez jua utampata wapi, lini na sehemu husika huwezi kuijua.

Ushauri wangu kwako ni:
Kamwe usifungue mitandao kwa ajili ya kutaka mke, ila anza kwa ajili ya urafiki, km umepangiwa umpate kwenye mitandao utampata au km ni nje ya hapo utampata tu.
Hao mashangingi wanaosemwa kwenye mitandao hata mitaan wapo, mtu kafanya uhuni weeee baadae anaamua kutulia ili apate mume/mke. Na wanadumu.
 
unashingapi niku connect kwa mdada mmoja yupo vizuri sana....
 
kwenye mitandadao huwezi kupata mke maana wameshatumika sana pia huko mtaani hawana soko,, mie nilipata kama sita hiv ila baada ya kuwafatilia huko nyuma kumbe walikuwaga makahaba sasa wamechoka wanataka ndoa,,, tena watatu wakawa wanataka mimba tu niwape basi na siyovkuolewa,, Tafuta mtaani kwako huko huko ila kwnye mitandao hamna kuna screpa tu

hutoi ushauri mwanana wewe??? kama wewe mmoja tu uliweza kuwa na wanawake 6 basi hata wewe ni shida ingine hapo.

Mimi naamin wapo kabisa na huwezi amin akawa mke bora kabisa.

sio kila kitu king'aacho ni dhahabu na vilevile sio kila mnachokiamin kuwa mitandaon hamuwezi kupata mke ikawa hivyo.

Don't take things the same everyday, days changes so the things also.
 
Back
Top Bottom