Ngimwike Paul
Member
- Dec 30, 2024
- 9
- 3
Niliajiriwa kwenye kampuni binafsi kama tally clerk na baadae nikajifunza funza wakani badilisha position nikawa nafanya kama Data entry Clerk na jumla kazi nilifanya kwa miaka 5
Mwaka huu mwezi wa 6 mkataba umeisha na nikaamua kufungua madai nssf na kukamilisha mchakato wote na kutia fingerprint, wkt nasubiria mambo yakae sawa nssf wakapiga simu kwa mwajiri kumuuliza elimu yangu, muajiri akajibu nimeishia level ya cheti na ni kweli nimeishia cheti japo kazini niliingia kama form 4 na kule kwenye document za nssf nilijaza elimu yangu ni form 4
So kwa hapo wadau mnaonaje ninaweza kulipwa hela zangu zote kama unskilled au watanilipa kama professional yaani ile 33.3% natakiwa nifanye nn wadau naombeni mawazo na maoni yenu