Naweza kujua maana na lengo la chit-chat?

Naweza kujua maana na lengo la chit-chat?

Rjmdaki

Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
20
Reaction score
2
Naomba kujua chit-chat imelenga nini, na je, unapochat na mtu humu kwenye hii room inakua private au?
 
Imelenga kuchit na kuchat. Inakuwa open ukitaka kuwa private tumia Pm
 
Mbona ipo wazi kabisa na inajieleza?
 
Naomba kujua chit-chat imelenga nini, na je, unapochat na mtu humu kwenye hii room inakua private au?

hivi ingelikuwa ni praiveti...hiki ulichokiandika tungekiona kweli?
 
Hapa ni kijiweni, barazani, mkunguni, chini ya mnazi, seblen...... ukitoka zako jukwaa la stress unakuja kumpumzika hapa... Shwariiiii no stress wala nini.... Tena na kahawa ipo ukitaka!
 
Back
Top Bottom