Sema unakuta unawaua ndio lakini huangamizi mayai yao ndo maana mzunguko wa maisha yao bado unaendeleaHawana dawa! Wanauwezo wa kuwa living na non living! Wana uwezo wa kukimbia speed kubwa zaidi ya bus la superfeo waenda 230km/h,
Wana uwezo wa kunyonya damu bila kung'ata injection!
Kwahiyo dawa ya hao ni kuchoma vyote vilivyomo chumbani halafu upake rangi upwa!
Naweza kuipata wapi hio powder maana kunapoda powder nimepewa haikusaidiaNunua akheri powder ndio mzizi w a yote
Kwaio unamwaga ili wafe au ili uwafukuze ebu fafanua kidogo maana kuna jamaa liniambia hao hata ukifua kaz bure loweka mashuka weka maji ya motoDawa Yao hao Ni maji ya Moto wafungie kazi siku
Siku ukiwa free home chukua like sufuria kubwa kabisa chemsha maji na kuni kabisa toa vitu vyote njee
Mwagia kila kitu maji yote hawarudi kamwe
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Duka la kilimo na mifugo kuna size tofauti tofauti.Naweza kuipata wapi hio powder maana kunapoda powder nimepewa haikusaidia
Wanauwezo wa kukaa hata miaka 10 na kufufuka, hapo kama huamini mda wowote watafufukaSema unakuta unawaua ndio lakini huangamizi mayai yao ndo maana mzunguko wa maisha yao bado unaendelea
Dawa ni kuwasusia kitanda na godoro lao kama miezi minne au mitatu utakuta wamehama wote mimi nilifanya ivo ni wasusia vyote kujakurudi na lala kwa raha zote.
We unadhani ukimwaga maji yaliyo yamoto kwa wadudu Kama wale watakimbia tu au watakufa ?Kwaio unamwaga ili wafe au ili uwafukuze ebu fafanua kidogo maana kuna jamaa liniambia hao hata ukifua kaz bure loweka mashuka weka maji ya moto